Maisha ya chuo yapo hivi

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
31,726
Reaction score
81,771
Ukifika chuo ishi Maisha yako hata Kama watu watakuonaje we ishi Maisha yako tu

Hilo boom unabidi ulitumie vizuri ili ukitoka chuo utoke na mtaji.

Ajira hamna sasa hivi hivyo unabidi kujitenga na starehe za kipumbavu ukiwa chuo hasa nyie mnaotoka vijijini na kuja katika miji mikubwa mnakuaga wapumbavu Sana so take care
The struggle is real
 
Hiyo Tv ni kwa ajiri ya Kuangalia vipindi gani? Skonga,taarifa ya habari au ziara za Rais??

Muda huo ukute una PC na Smartphone

Kichwa cha thread kiwe" vitu ulivyo kuwa navyo wewe wakati una anza chuo". Na life lako binafsi wakati uko chuo
 
Huo ni mtazamo wako na usilazimishe unachowaza wewe ndio kiwe perfect. Wewe kama unaona hivyo ni sawa endelea ila usitukane watu ambao huwalipii ada wala huwanunulii Chakula chuoni. Unajifanya unajua Sana maisha ya chuo sio?

By the way mpumbaf mwenyewe
 
Watakuja kukuelewa wakishamaliza chuo,, sasa hv hawawez kukuelew..Wenye Akili tu ndy watakao kuelew sasa hiv.
 
Wakumbushe pia dada zetu,maana hawa ni wahanga zaidi.kutaka maisha ya mashindano halafu uwezo wa kifamilia kifedha ni mdogo.Wataishia kudharirishwa sana.maana wapo wanaongojea uishiwe halafu ufanywe kwa hiayari yako kitu ambacho hukipendi kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…