😂 Maisha ya chuo hayaitaji ujinga!

😂 Maisha ya chuo hayaitaji ujinga!

Far back 2005-2009. Bumu tulianza na buku 2 na jero. Mwishoni tukapandishiwa mpaka buku tano.
Wali maharage ilikuwa jero mpaka mia 4 . Oooh no smartphone, no bundle nothing unasoma chuo huna hata kitochi
Hamna discussions? Mnakutanaje 😅
 
Nikipata Ajira Nami Nataka Nikasome Degree ☺️, Hivii Ukiwa Mtumishi kuna Uwezekano wa Kupewa Mkopo !?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom