Warmly welcome. Mkuu tuko pamoja, tulipitia huko huko,tukatendwa lakini baada ya kugundua faraja ipo kwenye kitabu na kupasua GPA ya uhakika, mkikutana mitaani baada ya wanaowadanganya kuwakimbia utawakuta wamebadilika wameacha umagharibi na kurudi kwenye hali yao ya asili.
Na wengine hufikia hatua ya kutubu na kumrudia Mungu kabisa.
Jibu swali ndugu?:yell::nod:upo kwny ndoa? au bado ucjekuwa na wew ndo walewale tulombion kuangaza macho huku na kule huku tukijitahid kuongozana njia
Mtu hata kazi huna,tayari umeanza kuwaza masuala ya mke wa kuoa!
Yesu akurehemu..uzinzi ni dhambi mkuu pia mke mwema hatoki JF. Mke mwema hutoka kwa Bwana so muombe Mungu akupe dira na muongozo umpate mke mwema na sio kukurupuka kwani ndoa si sawa na bongo fuleva
Nimekupata nashukuru san nimependa ushaur ngoja niwapotezee mpaka ninunue hummer ndo nianze kufikiria kuoa kabla cjanunua gari kali zaid
We fanya maskhara tu...utaishia kuwaolea wenzako...
nipe advice basi nilikuwa napata wa kugegeda tu!
Kaka soma kwanza pasua GPA ya uhakika ukitaka endelea Masters utawakuta waliotulia au ukianza kazi utapata mliokuwa nao chuoni ambao nao wametulia kama wewe utaoa na kutulia kwa raha zako.
Sio chuoni tu ndiyo unapata mke, hata utakapoanza kazi unaweza kumkuta nyumba ya ibada, maofisini nk. Achana na maono ya kuku kuona hapa, uwe na maono ya ndege TAI kuona maili kadhaa.
Chuo hakuna mwanamke wa kuoa. Hao ni kugegeda tu. Rudi kijijini kwenu utafutiwe binti wa kuoa.
Ila kama unataka sekrepa chukua.
Chuo hakuna mwanamke wa kuoa. Hao ni kugegeda tu. Rudi kijijini kwenu utafutiwe binti wa kuoa.
Ila kama unataka sekrepa chukua.
Uthitheme kuoa thema KUOANA utakosa mke.
Labda kaona aanzie jikoni wanakopikwa, lakini waswahili wanasema ukimchunguza sana bata hutokula yake.
Maisha yachuo ukiwa mdhaifu utatoka kapa no elimu,kwaiyo ukiwa chuo masomo kwanza mapenzi badae,,soma kwanza alafu mke badae mjomba mbona warembo kilasiku wana zaliwa?,!!!jikaze
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Badala ya kusoma unawaza uzinzi tu ...................na ungalie ndio mnaishia kupata magonjwa badala ya elimu