Hi wana jf! Katika moja ya vitu ambavyo cjawahi kufikiri ni kuishi kweny jamii wa wanawake wengi kama Udsm halafu utoke bila kupata mke wa kuish nae sas yamenikuta mana ndo namaliza na npo kweny mitihan ila nimejitahidi kuhakikisha na mpata m/ke wa kuishi nae ila kila ninaye mpata naona hanifai mara baada ya kubaini hata tabia mbovu moja tu sasa cjui nachagua sana na kudadisi kwing so nimeona nirudi jf nipeni ushauri nicje kuwa nachagua sana pia bint ambaye hajaolewa mwny sifa za wife material aniPM tu au akihitaji namba ntamtumia!. Nawaclisha