Maisha Tv brands

Maisha Tv brands

chobocho

Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
31
Reaction score
14
Naomba mwenye uzoefu au aliyewahi kutumia Television za Maisha, ubora na upungufu wake anifahamishe nijue.
Asanteni, nawasilisha.
 
Broo ukiamua kununua we fumba macho nunua. lakini najua kwamba unajua Tv ni LG, samsung, Tcl, Hisence na wenzie
 
Back
Top Bottom