Philo_Sofia
Member
- Oct 4, 2023
- 60
- 95
Maisha hayawezi kuleta uzima, wala maisha hayawezi kuharibu uzima. Yaani mambo ya kila siku kama vile chakula, mavazi, kusali, kazi tunazofanya havina msaada wowote katika kutoa uzima.Kwa maana maisha ni uzima na maisha yanaharibu uzima.
Shughuli zako za maisha kama zinaingilia uhai maana yake unaharibu uzima wako.wala maisha hayawezi kuharibu uzima.
Kabiiiiiiiiiisa.
Yesu ndiye ukweli, na hatima ya kila kitu.Kwahiyo watu wanapaswa kutambua kuwa wao wana uzima, na maisha yao ya kila siku hayana mchango kwenye uzima wao.
Ni kweli kuwa uzima ni bora kuliko chakula, lakini Yesu hakumaanisha kuwa watu wajishughulishe kana kwamba kujishughulisha kwao aidha kwa haki ama si kwa haki kunaweza kuwapa uzima bali alimaanisha hivi:Alisema...."uzima ni bora kuliko chakula..." Alimanisha watu lazima wajishughulishe, na kujishughulisha huko katika maisha yako ya kila siku kwa faa kuwe kwa haki.
Si kweli. Mungu anakaa ndano yetu endapo tutakabidhi maisha yetu kwa mwanae Yesu bila kujali kwa wakati huo tunatenda nini.Roho ya mtu inaungana au unajitenga na Mungu kwa jinsi unavyotenda katika maisha yako ya kila siku.
Waaminio ni watu gani? Nini maana ya "anayeamini", na "asiye amini"?Maisha yetu (mfano, kutafuta chakula cha mwilini) hayana maana bila kujali ni ya haki ama si ya haki bali chenye maana ni uzima unaotolewa na yeye pekee si katika shughuli za maisha yetu bali kwa sababu ya upendo wake kwa wale waaminio.
Hii ni kwa mujibu wa imani yako na si ya watu wote.Yesu ndiye ukweli, na hatima ya kila kitu.
Alisema...."uzima ni bora kuliko chakula..." Alimanisha watu lazima wajishughulishe, na kujishughulisha huko katika maisha yako ya kila siku kwa faa kuwe kwa haki.
Roho ya mtu inaungana au unajitenga na Mungu kwa jinsi unavyotenda katika maisha yako ya kila siku. Unaishi haki?
Kwa kujitenga na Mungu yaani uwepo wa hali ya juu wenye akili, uzima gani roho ya mtu inaweza kuwa nao?
Mungu anawapenda watu wote:wema na waovu.Mungu anakaa ndano yetu endapo tutakabidhi maisha yetu kwa mwanae Yesu bila kujali kwa wakati huo tunatenda nini.
Kukabidhi maisha kwa Yesu maana yake ni kukiri kuwa kwa nguvu zetu ama kwa matendo yetu ya haki hatuwezi kuwa na uzima kwa sababu hatuwezi kutenda matendo ya haki kikamilifu, hivyo tunamkaribisha Yesu aongoze maisha yetu na yeye hutukamilisha na kutufanya watakatifu yaani kutupa uzima.
Wasema hivi kwa sababu unamchukulia Mungu kama mawazo ya binadamu yalivyo, ndio maana hatuelewani.Kama roho ndio itoayo uzima, vipi kama mtu huyo amejitenga na Mungu wake? Na je! Nini kinafanya mtu ajitenge na Mungu wake kama sio shughuli zake za kila siku?
Hakuna imani zaidi ya moja. Imani ni moja ni tu; kama ambavyo vitu vyote asili yao ni moja.Hii ni kwa mujibu wa imani yako na si ya watu wote.
Na wengine wa din zaidi ya 10000 wanasema hivyo hivyo kama wewe , imani ni ujinga fulani hivi.Hakuna imani zaidi ya moja. Imani ni moja ni tu; kama ambavyo vitu vyote asili yao ni moja.
Hizo zingine ni kasoro, ambazo zinatokana na ukosefu wa kutoelewa mambo kwa kina na elimu ya vitu.
Wewe umechukua mistari baadhi, na kwa sababu hiyo umepotosha wazo zima la andiko lenyewe: andiko au ujumbe unawahusu akina nani.Ni nani atakayetutenga na upendo wa Kristo? Je! Ni dhiki au shida, au adha, au njaa, au uchi, au hatari, au upanga? Kwa maana nimekwisha kujua hakika ya kwamba, wala mauti, wala uzima, wala malaika, wala wenye mamlaka, wala yaliyopo, wala yatakayokuwapo, wala wenye uwezo, wala yaliyo juu, wala yaliyo chini, wala kiumbe kinginecho chote hakitaweza kututenga na upendo wa Mungu ulio katika Kristo Yesu Bwana wetu.
Rum 8:35, 38-39 SUV
Ujinga ni kutojua, na imani ni kujua. Kwa hiyo imani sio ujinga.Na wengine wa din zaidi ya 10000 wanasema hivyo hivyo kama wewe , imani ni ujinga fulani hivi.
AyaUjinga ni kutojua, na imani ni kujua. Kwa hiyo imani sio ujinga.
Mtu anaweza kuwa mjinga kwa kutojua, na kwa kutojua ndio sababu kuna kasoro mbalimbali.