FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,792
- 5,375
jamani, inawezekana, ama nikuunganisha habari ya yule mkewe kuwa aliwahi kuwa kiburudisho cha Liyumba ssijui Kayumba , yule mtuhumiwa wa BOT.si kuna maneno yanayoendelea mtaani kuwa kp kanasa? asiwe kuwa anasambaza? umasikini na tamaa utawamaliza mabinti zetu
kama kaka, ila si kaka yako... ama ?KP kwangu ni kama kaka.
Nitamtafuta na kumuuliza kinachojiri kule tena ikichukuliwa kambi yao ipo tarafa moja ninayopitiaga muda fulani fulani.
Tuhuma hizi si za kufumbia macho aisee
]si kaka yangu
tume kua wote pamoja akinitangulia miaka na mishemishe za town.
najua shababi ni bazazi kweli kweli lakini nitamshauri asiweke sana mambo yake ktk kazi maana yatamharibia.
Najua ilipo lakini siwezi kukutajia maana wenyewe wangewatajia kama wataona vyema kufanya hivyo
dah, mkuu, ina maana kumbe alivotolewa na yule jamaa mchungaji kutoka mbeya alikuja kurudishwa? manake sijaangalia siku mbili hizi...na to be honest 'nilishangazwa' kuwa kwa nini atoke, na pia wala hakuonyesha kuwa na wasi wasi alivopelekwa kwenye kizimba cha kutoka
kaaz kweli kweli
If it is true, then there is no need of this mchezo. Sasa Abdul naye alitoa nini akashinda? Wanaume wao wanatoa nini?
Wewe Hujui Abd............ kuwa ni................ hata Huyo ............ wa Shy noma mimi namjua hafai tena ana miwalaya shot tupu pale
Kaka wape ukweli wafitini wamejaa unafiki tuu wala hawaangalii yao,aibu!Hebu acha majungu.
That is a game. So hate the game and not the player.
Watu mko narrow minded kishenzi yana. Msichana akipata opportunity basi anapewa kwa minajili ya ngono. Ungepata wewe hiyo opportunity ungeioanisha na sababu za kingono au ingekuwa zali? Acheni maneno fanyeni kazi za maendeleo.
KP usirudi nyuma kamwe.
If it is true, then there is no need of this mchezo. Sasa Abdul naye alitoa nini akashinda? Wanaume wao wanatoa nini?
Acheni wafu wazike wafu wenzao!Angalieni daima taarifa za habari rather than wasting time on maisha plus!
kufunga hapana wacha watu wengine wafaidi ingekuwa dada yake ndo kampata kp angesema? kama hawachanganyi ni huyo mmoja mwacheni hamna tatizo hapoMmh kama habri hizi ni zakweli basi Maisha Plus ifungwe.
Kwani maisha plus ina mchango gani katika Taifa letu?