Maisha plus ni another ectopic investiment by our media channels... hasa wanapoiweka prime time kama wanavyofanya TBC... Hakuna jipya wala promotion ya mambo yatakayosaidia watoto wetu hasa kwenye maisha ya kisasa na hiyo EAF on board, pili ule ni muda ambapo familia nzima inakuwa nyumbani then tunajikuta tunaangalia vijana wakijaribu something artificially
Hivi kwanini pasiwe na vile vipindi kama vya quizz, general knowledge nk?
Kuuza sura.
khaaaaaaaaaa signature yako jamaniOk, kama hatoshinda anakua amesha pata skisiposha ya kutosha ,so ni juhudi zake mwenyewe mshiriki kujitoa kwa njia yeyte ile!