Jitu la kienyeji
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,443
- 7,979
Maisha ni safari
Kwahiyo lile andiko linalosema 'alaaniwe amtegemeaye ndugu yake' ndo umelidhihirisha hapaa?Siku zote kwenye maisha, usiweke matarajio au matumaini kutoka kwa binadamu hata awe mzazi wako au mtoto wa kumzaa.
Utaumia moyo ujute, kama unajipenda fanya wajibu wako kisha endelea na maisha mengine. Hata kama ikiwa ni wajibu wako kulipwa au kutumzwa acha ije kama sapraizi. Ikitokea isivyo utajaa chuki na hasira hatimaye uzeeke kabla ya umri wako.
Safari ni hatua.
Maisha ni safari na kifo ni konyagi, au nasema uongo?Maisha ni safariView attachment 1666939
Kwahiyo lile andiko linalosema 'alaaniwe amtegemeaye ndugu yake' ndo umelidhihirisha hapaa?