Yes namba yake ninayo, ila shida ni kuwa simu yangu nimeisahau kwake maana niliondoka alfajiri sana na sikulipia huduma kwa hiyo amechukua simu yangu mpaka nitakapo enda kulipa, kwahiyo nitakutumia namba yangu ya backup unitumie tigo pesa laki mbili nikalipie ili nipate simu yangu nikupe namba yake. SAWA NDUGU?Mkuu una number yake huyu?![]()
Duh!Yes namba yake ninayo, ila shida ni kuwa simu yangu nimeisahau kwake maana niliondoka alfajiri sana na sikulipia huduma kwa hiyo amechukua simu yangu mpaka nitakapo enda kulipa, kwahiyo nitakutumia namba yangu ya backup unitumie tigo pesa laki mbili nikalipie ili nipate simu yangu nikupe namba yake. SAWA NDUGU?
hapa safari ni tam