Moisemusajiografii JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 53,933 Reaction score 100,217 Dec 23, 2018 #21 exaud morrey said: Oyeee yenyewe hoyeeee!!? Click to expand... Mkuu "sisi" ambao vyuma havijakaza huwa hatupendi tabu.Nikiweka "h" kwenye oyeeee wakati wa kutamka nitachubuka koo.Kuandika oyeeee...inatosha!
exaud morrey said: Oyeee yenyewe hoyeeee!!? Click to expand... Mkuu "sisi" ambao vyuma havijakaza huwa hatupendi tabu.Nikiweka "h" kwenye oyeeee wakati wa kutamka nitachubuka koo.Kuandika oyeeee...inatosha!
exaud morrey JF-Expert Member Joined May 22, 2017 Posts 1,024 Reaction score 979 Dec 23, 2018 #22 Moisemusajiografii said: Mkuu "sisi" ambao vyuma havijakaza huwa hatupendi tabu.Nikiweka "h" kwenye oyeeee wakati wa kutamka nitachubuka koo.Kuandika oyeeee...inatosha! Click to expand... Sio kwamba nimekurekebisha ila Sikh hizi wameimodify wanasema ccm oyee! Halafu anamalizia hoye yenyewe hoyeee!?
Moisemusajiografii said: Mkuu "sisi" ambao vyuma havijakaza huwa hatupendi tabu.Nikiweka "h" kwenye oyeeee wakati wa kutamka nitachubuka koo.Kuandika oyeeee...inatosha! Click to expand... Sio kwamba nimekurekebisha ila Sikh hizi wameimodify wanasema ccm oyee! Halafu anamalizia hoye yenyewe hoyeee!?
Moisemusajiografii JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 53,933 Reaction score 100,217 Dec 23, 2018 #23 exaud morrey said: Sio kwamba nimekurekebisha ila Sikh hizi wameimodify wanasema ccm oyee! Halafu anamalizia hoye yenyewe hoyeee!? Click to expand... Astaghifilullah! Hata kucheza nyimbo zetu huwa "tunakumbatiana" kama nguchiro wenye kifaduro.
exaud morrey said: Sio kwamba nimekurekebisha ila Sikh hizi wameimodify wanasema ccm oyee! Halafu anamalizia hoye yenyewe hoyeee!? Click to expand... Astaghifilullah! Hata kucheza nyimbo zetu huwa "tunakumbatiana" kama nguchiro wenye kifaduro.
Vanree JF-Expert Member Joined Jan 3, 2017 Posts 222 Reaction score 177 Dec 23, 2018 #24 Kizzy Wizzy said: Yes Click to expand... Daaaah unaweza tusaidie japo kidogo Kwa jinsi anavyofanya hii busnes
Kizzy Wizzy said: Yes Click to expand... Daaaah unaweza tusaidie japo kidogo Kwa jinsi anavyofanya hii busnes
Zeus1 JF-Expert Member Joined Aug 24, 2017 Posts 7,325 Reaction score 9,532 Dec 23, 2018 #25 Elitwege said: Vyuma kukaza ni msemo uliobuniwa na chadema ili kuwahadaa vilaza. Lkn awamu ya tano hela njenje Click to expand... Mimi sio chadema kabisa,ila ulichoongea hapa ni uongo kabisa..sijui mnapata faida gani kusifia hadi yasiyo sifika
Elitwege said: Vyuma kukaza ni msemo uliobuniwa na chadema ili kuwahadaa vilaza. Lkn awamu ya tano hela njenje Click to expand... Mimi sio chadema kabisa,ila ulichoongea hapa ni uongo kabisa..sijui mnapata faida gani kusifia hadi yasiyo sifika