We umeionaje mkuuSaa 9:49 usiku unaandika siridi
Maisha ni mazuri mnoo mkuu.Asubuhi napata chai matembele.Mchana napata maandazi mawili kwa chili sosi.Halafu jioni sili sana.Napata juisi ya bamia.Nina furaha mnoo.Halafu,hivi tumenunua ndege mpya?Ndege oyeeeeee!CCM oyeeee!Sikukuu oyeeeee!Maakuli oyeeeeee!Wanajf tujadili hili,
Ukiachilia mbali mambo ya diplomasia na uhuru,hebu tujadili maisha na hari ya watu kwa ujumla hasa kipindi hiki cha kuelekea sikukuu
Kwa upande wangu naona watu wamekubaliana na hari na mazingira yaliyopo,ukienda sokoni,mnadani hata shopping malls,Mambo ni motomoto ,sisemi nikwawote,ila wastani
Noma sana!Maisha ni mazuri mnoo mkuu.Asubuhi napata chai matembele.Mchana napata maandazi mawili kwa chili sosi.Halafu jioni sili sana.Napata juisi ya bamia.Nina furaha mnoo.Halafu,hivi tumenunua ndege mpya?Ndege oyeeeeee!CCM oyeeee!Sikukuu oyeeeee!Maakuli oyeeeeee!
Unaongea as if ni jambo simple tu.Watu wanaofaidika kwa kipindi hiki ni wale wanao zalisha bidhaa ndani na kuuza nje ya nchi.
Usitegemee uzalishe bidhaa ndani then uiuze humu humu ndani upate Faida, Utapata Ila kwa tabu Sana
Nakushauri hata Kama una shamba lako la mboga mboga anza kutafuta masomo nje, kamilisha vigezo vyao paki Katika ubora wanaoutaka kawauzie.
Ulaya wana uhitaji mkubwa Sana wa green vegetables. Nakuinsure unapiga pesa mpaka utashangaa
Oyeee yenyewe hoyeeee!!?Maisha ni mazuri mnoo mkuu.Asubuhi napata chai matembele.Mchana napata maandazi mawili kwa chili sosi.Halafu jioni sili sana.Napata juisi ya bamia.Nina furaha mnoo.Halafu,hivi tumenunua ndege mpya?Ndege oyeeeeee!CCM oyeeee!Sikukuu oyeeeee!Maakuli oyeeeeee!
Akina mama wenye ajira zenu huwa mnajisahau sana mnazani nawakulima wanapokea mishahara ila nikutonye huku kijijini kwenu hali si shwariVyuma kukaza ni msemo uliobuniwa na chadema ili kuwahadaa vilaza.
Lkn awamu ya tano hela njenje
Wakulima wa korosho wamelambaAkina mama wenye ajira zenu huwa mnajisahau sana mnazani nawakulima wanapokea mishahara ila nikutonye huku kijijini kwenu hali si shwari
Wanajf tujadili hili,
Ukiachilia mbali mambo ya diplomasia na uhuru,hebu tujadili maisha na hari ya watu kwa ujumla hasa kipindi hiki cha kuelekea sikukuu
Kwa upande wangu naona watu wamekubaliana na hari na mazingira yaliyopo,ukienda sokoni,mnadani hata shopping malls,Mambo ni motomoto ,sisemi nikwawote,ila wastani
Usanii mtupu dhuruma imetawalaWakulima wa korosho wamelamba
Kama unafkiri kuna jambo rahisi la kufanya kirahisi rahisi tu Ili kukupatia maendeleo basi umepotokaUnaongea as if ni jambo simple tu.
MkuuMkuu kizzy,hebu tuambie uzoefu wako,una muda gani unajishughurisha hivyo kimataifa?
Na yeye anauza nje mkuu maana nimependa Hii ideaMkuu
Mimi sijihusishi na hizo mambo labda ni kwa vile tayari ninajihusisha na mambo au product nyingine badala ya mbogamboga
Isipokuwa kuna mtu namfahamu vizuri tu, yeye anashamba kubwa mikoa ya Iringa na Njombe anafanya hiyo biashara
Alipoanza mm nilichukulia masiharamasihara alipokuwa ananishirikisha lakini matokeo yake nayyaona saivi, Anamaendeleo mkubwa na anapata kujuana na watu wengi na experience kubwa,
Yeye mwenyewe alionaga mtu anafanya hizi mambo kupitia social media na yy akaamua kujiingiza hukoo
YesNa yeye anauza nje mkuu maana nimependa Hii idea