Maisha katika kisiwa cha Greenland ni kama kijijini ,wananchi hawana access ya huduma ya internet,hivi kweli kama hata internet hakuna wanaishi vipi hapo huenda hata kinachoendelea kuhusu wao kutwaliwa na Trump hawajui,wao maisha yao uvuvi tu..
View attachment 3529758