ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,065
- 61,402
Endeleeni kujitoa ufahamu!Wenzenu wanataka uhuru, hasa uhuru wa kupasuana malinda, maana ndio kiwango cha mwisho cha uhuru ambacho marikani wanatoa.
Kama mnavyojitoa nyinyi.Endeleeni kujitoa ufahamu!
Watu wanataka uhuru gani, wa kupiga kelele majukwaani. Hii awamu tunakosoa kwa vitendo, kama huwezi subiri siku ya uchaguzi, uwaambie wapiga kura wako, nilikatazwa kuwaletea maji[emoji16][emoji16][emoji16].Ni lini watu walikuwa hawaruhusiwi kufanya mazoezi au kutemhea???Hata kabla ya uhuru watu walikuwa wakifanya hayo!Upuuzi tu mnatuletea hapa!
Lissu baada ya kutumia haki yake ya kikatiba vyema,unafahamu watawala walichomfanya!Kuna uhuru hapo?Au uhuru upo kwa watu wasiojishughulisha na siasa na kama wanajishughulisha nazo basi wawe upande wa waunga mkono!Shame!Watu wanataka uhuru gani, wa kupiga kelele majukwaani. Hii awamu tunakosoa kwa vitendo, kama huwezi subiri siku ya uchaguzi, uwaambie wapiga kura wako, nilikatazwa kuwaletea maji[emoji16][emoji16][emoji16].
Ndio utajua kwamba uhuru tuliishapata mwaka 1961.
Nikiamuangalia prof jay mzee wa mitulinga, najisemea wapinzani wote wangekuwa kama huyu jamaa, ccm isingekuwepo mpaka leo hii.
Ni haki yako kikatiba kukosoa na kushauri serikali, ila hakikisha hudharau dola mamlaka.Lissu baada ya kutumia haki yake ya kikatiba vyema,unafahamu watawala walichomfanya!Kuna uhuru hapo?Au uhuru upo kwa watu wasiojishughulisha na siasa na kama wanajishughulisha nazo basi wawe upande wa waunga mkono!Shame!
Kusema ndege yetu imekamatwa kisa madeni,kuwa mkosoaji wa sera za serikali ya awamu ya 5!Hilo ndiyo kosa lake kubwa!Ni haki yako kikatiba kukosoa na kushauri serikali, ila hakikisha hudharau dola mamlaka.
Lissu sijui yalimkuta yale sababu ya nini, hata wewe nikikuuliza lissu alifanya nini mpaka apigwe jibu huna.
Kwahiyo alikuwa anaiombea michango au, alikuwa anafanyaje!!!??Kusema ndege yetu imekamatwa kisa madeni,kuwa mkosoaji wa sera za serikali ya awamu ya 5!Hilo ndiyo kosa lake kubwa!
Vyovyote vile alivyokuwa anafanya,alistahili alichotendewa?Kwahiyo alikuwa anaiombea michango au, alikuwa anafanyaje!!!??
Mimi sijui hayo, wewe ndio umesema.Vyovyote vile alivyokuwa anafanya,alistahili alichotendewa?
Kuutarifu umma kuwa ndege imekamatwa ni dhambi?Kweli awamu hii mmekaa kufukia makosa ili muonekane wasafi!
Muulize balozi wako,atakuwa na taarifa sahihi zaidi!Mimi sijui hayo, wewe ndio umesema.
Kwahiyo serikali ikiwa inadaiwa shingapi, na ililipa ikapewa ndege!!