"maisha matamu kuliko.......?

DavidHard

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2011
Posts
436
Reaction score
286
Mfalme mmoja alitoa zoez kwa atakae vuka mto
wenye mamba atamzawadia/atamuozesha
bintie wa kike kabla hajamalizia kutangaza ghafla mmoja
akaingia majini akaogelea fasta hadi akavuka alipo
rudi mfalme akamwambie kjana unastahili kupewa
binti yangu ,yule jamaa akasema kudadadeki sihitaji mke wala nini namtaka kwanza alie
nisukuma...mtoni....nim..,'
 
achana na kitu life wewe,,,,,,,,,......
 
sipati picha alipomuona mtu aliyemsumkuma.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…