Mzee wa kusawazisha
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 1,601
- 1,180
Namba 1. mtu pekee(rafiki) halisi ni mama yako mzazi tu
Namba 2: fukara hana rafiki
Namba 3: siku zote unaempenda zaidi ndie atakuja kukuumiza zaidi
Namba 4: ukiwa na furaha utaburudika muziki Lakini ukiwa na huzuni utaelewa shahiri
Namba 5: watu wanaheshimu pesa na sio binadam
Namba 6: katika maisha mambo mawili watu watakujua mvumilivu wako ukiwa huna kitu na tabia yako ukiwa na pesa
Namba 7: ukweli ni rahisi lakini unapoanza kuulezea ndipo unapoanza ugumu.