Kaka hizo picha haziendani na ujumbe wa vitendo. Wakati vitendo vinaashiria ufukara, mazingira vitendo vinapofanyika hali ni njema. Mfano ceramic washing basin na looking mirror kwenye picha ya kwanza, wakati picha ya pili kuna sufuria la nguvu ambalo lnang'aa ikiwa na maana haijaipikiwa kuni. Mtoto hana hata viraka?