Maisha kama Bongo Star Search..Uzushi mwingi....

wewe uliamua hutashiriki 'other people's show'
ulishiriki your own show
na sasa huna regrets

I guess even his "own show" is not over yet.....kama anavosema yeye mwenyewe, maisha hayatabiriki. Leo yako hivi, kesho vile.
 
sure ure very right.as for me ndio kwanza naanza maisha so still preparing my own show! Na nina uhakika nitatoka tu.one day yes regardless of where i've been through, i know my paradise awaits. Ntakukaribisha nikifika The Boss

asante
i am waiting hiyo invitation..
na hongera pia
 
thanks The Boss kwa hii makitu umedrop kha! unamkuta mtu alifundishwa na wazazi kuwa ukiolewa NO divorce, ukiachika tu ni laana na mikosi na maisha yatavurugika! mtu anavumiliaaa weeee anapigwa, ananyanyaswa kwa namna moja au nyingine , yaani its full inhuman acts in her/his life but yupo tu just bcoz of the word CURSE! but nimeona wengi walijitoa kwenye mikono hiyo dhalimu na kuja kuwa mifano kwa x's wao popote wawaonapo.

ndivyo tunavyotakiwa kuifanyia hii nchi, ni muda sasa tuseme basi na CCM, itupe talaka yetu na tutafute MUME/CHAMA kingine kitakachotukomboa. hii dhana ya kikija chama kikingine kutatokea matatizo ife, AND LET IT BEGGIN WITH US! life is not how it is from stories and other pipos aspects, but it is how u take it with your DOTS.........! in short MAISHA YAMEJAA KUCHAGUA NA MUDA ALWAYS HAUTUSUBIRI!!

exactly my point
hata wazazi wanaweza kukufanya uwe 'victim' of their show
hawakupi uhuru wa kuchaagua na kufanya mistakes zako mwenyewe..
mfano wapo wanaochaguliwa nini wasome...mfano baba dokta analazimisha mtoto awe dokta
 
mkuu The Boss,ninachojua mimi maisha ni sinema,we are actors katika a big show ambayo mwanzo na mwisho wake hatujui,uwe Bill Gates,uwe matonya,uwe Obama ,uwe Kikwete,uwe invisible uwe bishanga, duniani humu wote tunacheza makida tu.................anyway death is the greatest equaliser.

usisahau in a movie
kuna movie writers na directors
na kuna watu wanaitwa extras...na main actors...so
bado kuna tofauti
 
Nakubaliana na wewe kiasi lakini hebu tusifikirie kizungu sana lets think kwa kujiweka kwenye position ya watanzania wengi..hasa ukizingatia nchi yetu nayo inacheza show za nchi zingine(developed countries)..watu wengi waliopo vijijini ni maskini kuliko mijini kwa sababu wengi hawajacheza show za wenzao(hawana elimu,kazi) na wenye elimu wengi wamekimbilia mijini kucheza show za watu na zimekua msingi wa mafanikio yao!kwa maisha ya kitanzania ni ngumu sana(japo inawezekana) kustand on your own bila kua na msingi(fedha,elimu) labda kama una special talent!
Hivi bila kua na resources( elimu, fedha au special talent) unawezaje kucheza show za maisha ya kitanzania on your own??

labda hukunielewa
sikusema shule sio muhimu
au kazi sio muhimu...nilichojaribu kusema ni kuwa
huo umuhimu unaweza kuwa haukukulenga wewe...
so be carefull na unayosikia
soma,fanya kazi but be aware...
 
tena hili la wazazi kukupangia cha kusoma lilikuwa linanikera sana.

Nililzimishwa kwenda PCM wakati nachukia kemia kama nini, uzuri nilikuwa mbishi na kukataa.

Na chuo nako nikachaguliwa kozi lol
haikufanikiwa maana nilikataa

hapo ndo unakuta mtu anashindwa shule kumbe anasoma kitu ambacho hapendi au hana uwezo nacho.

exactly my point
hata wazazi wanaweza kukufanya uwe 'victim' of their show
hawakupi uhuru wa kuchaagua na kufanya mistakes zako mwenyewe..
mfano wapo wanaochaguliwa nini wasome...mfano baba dokta analazimisha mtoto awe dokta
 
tena hili la wazazi kukupangia cha kusoma lilikuwa linanikera sana.

Nililzimishwa kwenda PCM wakati nachukia kemia kama nini, uzuri nilikuwa mbishi na kukataa.

Na chuo nako nikachaguliwa kozi lol
haikufanikiwa maana nilikataa

hapo ndo unakuta mtu anashindwa shule kumbe anasoma kitu ambacho hapendi au hana uwezo nacho.

So uliishia kusoma nini Kongosho? I am just curious.
 
Last edited by a moderator:
mie nilipenda kusoma jinsi ya kumridhisha

ndo nilikuwa napenda hiyo afu mtu ananilazimisha nikawe injinia wa umeme, ntalala luku mie?

Na kwa mujibu wa hii 'theory' yako na yeye yuko kwen 'top three' ya BSS sio....LOL
 
ha ha ha, Ney hata kusema experience yako kama umefanya upendacho au ulienda tu.

nimeipenda hii mada ila sina mchango nahisi ni kwa watu wenye akili tu,mie niliyebakiza za kuvukia barabara hapa ni parefu....:loco::loco:
 
Brother nimeipenda hii kitu, Kweli maisha ni safari ndefu, on my side I believe life's a game of chance like chess or checkers, you can either take your time playing it safe or be tough and rough risking yourself left, right and centre while enjoying it,,
also life is like a mirror, when you look to a mirror and smile you get a smile back, also maisha ni kama karata kufanikiwa inategemea unavyozicheza karata zako,

to be honest sikuwa napenda shule toka mtoto najijua kabisa. Sema I was luck nilipelekwa shule ambazo kufaulu wote ni kawaida, ila nimesumbua sana toka primary those days, at the end nikamaliza la 7 na kupelekwa tena best private school for boys, nilikuwa kila siku suspension as sipend shule tu, I like music productions but b mkubwa alipinga kwa nguvu zote, nikamaliza form 4 na nilipanga sitaenda a level nataka nipelekwe college majuu ili nikifika huko nisome music, I was luck result tulifaulu wote na mimi ni mmojawapo wa tulipata low marks pale shulen div 2.

Kisanga kikaja muda wa kwenda form 5 maana niligoma kwa akili za kitoto, niliwekwa vikao kibao hadi na wachungaj waniombee so nikaenda a level kwa kufosiwa, a level yenyewe shule natoroka toroka nikafukuzwa boarding kwanza and then suspension ndefu. Wakat nipo form 6 ambayo niliruhusiwa kufanya necta tu, I was luck matokeo nilipata tena div 2, balaa lilianza soon after matokeo ya form six, my mother akaanza kuumwa vibaya sana, sasa pesa yote inatumika kumtibia maana ni nje ya nchi tu, nilikuwa nalia kila siku nikimuona and she always want to me to go to college and study.

I was lucky nikachaguliwa mzumbe and udsm. So nikaenda chuo huku akili imebadilika sana baada ya matatizo yalitotukuta na nikaanza kupiga msuli kwa nguvu zote, after school nikapata ajira through graduate recruitment program na nikaanza kazi na furaha zote lakin baada ya miezi 4 tu nikaanza kuona sifurahii nachofanya although inanipa mahitaji yangu yote muhimu, yaan naona kabisa mimi huku sio malengo yangu kiasi hata kuamka asubuh naona kama naenda gerezani, although ofisin hawajui maana nafanya kazi zao zote ontime japokuwa sina furaha kabisa. Ila sometimes I Thanks God and do my work with a smile.

But sometimes lazima tukubali kwenye maisha sio kila tunachotaka lazima tupate zaidi ya kutumia vizur tulichopata,

"when life gives you lemon, makes lemonade and find someone who life gives him a vodka and have a party"
 
Back
Top Bottom