Wakubwa babar zenu
Short story..
Baada ya kumaliza chuo nikiwa na shilling million 2 nikajarubu kufanya biashara nikazulumiwa pesa yote.. Girlfriend wangu akanifarij nikasahau yote nikasonga mbele
Baada ya Muda mrefu kupita nikapata kazi sekta binafsi Baadae nikaaacha Baada ya kupata kweny maslai zaid
Sehemu niliyo ipata walikuwa wananilipa vizur sana.. Shemej yenu alikuwa anapewa anachotaka.
Maisha kwa ujumla yalikuwa Mazur.. Kumpa mtu elffu kumi mpaka laki Kwang ilikuwa Kitu cha kawaida..
Familia nilisaidia Kadri nilivyoweza, hasa wadogo na mzazi wangu..
Baadae kampun niliyo ajiriwa ikaja kufungwa na serikali na wale wazungu wakalud kwao
Aisee hapa nilipo Nina miez 9 Niko home nasaka job.. Girlfriend wangu akasepa hanitak tena
Nimekuwa mtu mweny mawazo sana.. Nakosa Ata pesa ya bando.. Kwa kifup apa nilipo Nina buku Tatu...tu..
Nina mengi ya kusema naona Ninyamaze... Kuna watu Wanamatizo zaidi yangu
Walimwengu walisema cha msingi uzima.
LAKINI
Maisha hayana formula JAMANI....