Maisha haya...

Maisha haya...

kaka_mkubwa

Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
44
Reaction score
85
Unakamata akina Soka na akina Mdude, unawatesa na wengine unawaua... hawana bunduki wala nini, bando la kukusimangia wanagongea... halafu unakuja kugundua kumbe kimeo ni Polepole, ambaye unamlipa mshahara na malupulupu! Lazima uishiwe nguvu...

Haya ndio matumizi mabaya ya dhambi!
 
Back
Top Bottom