Maisha Haya, Stress tupu

ZINDAGI

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2015
Posts
1,118
Reaction score
1,437
Nilikua naayaangalia maisha ya hawa watu wa msituni huko Amazonia, kwa kweli ni maisha poa sana, hayana stress kama haya maisha tunayoushi sisi hii leo huku kunakoitwa ulumwengu uliostaaravuka "civilized world".
Hawa wenzetu hawana stress eti
1.Sijui kesho nitakula nini
2.Luku imeisha
3.School fee ya watoto sijalipa
4.Kodi ya nyumba inakaribia
5.Watoto wanataka kupelekwa hospital
5.Kazini nina vyeti feki, wakaguzi wanakuja
6.Mkopo benki

Mengine malizia wewe

Jamaa wapo natural na hawahitaji utegemezi wowote
 
Ni kwel nchi za scandinavia vijana wanataman kuwa wazee ila tanzania vijana wanajua uzee ni umskini! Sweden wazee wana hela kuliko vijana wanaishi zaid ya miaka 75 kima cha chini ila kwetu bora tukae kimya maana hatuwez kufikiria chakula na malaz wakat hata bima ya afya hakuna kwa wazee
 
Sometime maisha ni miangaiko tu
 
Maisha ni jinsi unavyotaka yawe. Ukitaka kasheshe utazipata, Ukitaka kubembea utabembea. Maamuzi ya mtu ajibebeshe nini anachokiona ndio maisha.
 
Huu uzi mtamu sana,wakija wachangiaji wengi ambao ni maGT kweli naweza kukwamuka zaidi.
 
Nimeamia kwenda Amazon kuishi baada ya kupata michango yenu, nawashukuru nyote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…