Maisha chini ya chama kimoja cha siasa yapoje?

Kwasababu hatuna wa kuyapigania matokeo, basi tujiandae kuendelea kuumia.
 
TUlisema utakuwa uchaguzi wa mpenda haki na mpenda Dhuruma.

Dhuruma imeishinda haki.
Tusubiri mapigo ya Mwenye Haki Mtenda Haki ambaye hapunji na yuko nyuma ya waliodhulumiwa.
Masika yaja... tutubu, tufunge pia tuombe sana na kulia sana... mapigo yake maulana hayataepukika... dhulma... dhulma...
 
Solution gani sasa, sioni Solution yoyote.
Ningekuwa mchawi ningejaribu kujitosa.
 
Jiandae kisaikologia. Hii itakuwa mbaya kuliko ya Nyerere kwani wakati huo pamoja na mfumo rasmi wa chama kimoja kulikuwa na ukosoaji. Wabunge walikuwa huru kuongea. Ndiyo maana unasikia kulikuwa na G55 wabunge waliosimana kutaka serikali ya Zanzibar. Kwa sasa hilo halitawezekana. Kumbuka wabunge wa kusini walivyozimwa kwa vitisho juu ya suala la korosho!
 
Na J2 hii mtaniona kanisani nikiwa nimepiga magoti tena kwa unyenyekevu mkuu nikisema Mniombeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.
................Haha hakika kama Mungu angesema kwa baadhi ya cases amuhukumu mtendaji on the spot huyu mara hii asingechomoka!
 
Plan zote zikishindikana tuanze kumsifia
Tukiwa na plan B kwenye target
 
Mamaee
Nchi imeoza rasmi
R.I.P Private sector
Tusubirie vichaa kuongezeka kuanzia magogoni mpaka shinani .
Bora Yesu arudi tu kipindi ichi[emoji31]
 
Ni rahisi ngamia kupenya tundu la sindono kuliko mwana CCM yoyote kuuona ufalme wa Mungu.
 
Mstari Ni moja; tutanyoshwa wote mpk citizen 1 Naye atanyooka mwishoni; then we will have new country!
 
Nitajie maadui watatu wa taifa la Tanzania.

1.
2.
3.
1.Chadema
2.Chadema
3.Chadema

Watu gani kazi kupinga MAENDELEO.

Congratulations in advance President Magufuli
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Labda tutajifunza taratibu ngoja tusubiri.
 
Hizi ni theory tu, nataka solution ya haraka.
 
1.Chadema
2.Chadema
3.Chadema

Watu gani kazi kupinga MAENDELEO.

Congratulations in advance President Magufuli
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Ndio maana tunasema elimi elimu elimu. Unashindwa swali dogo kama hili. Endelea na utumbavu wako.
 
Hamna cha ajabu. Watu walewale wa vyama vingi ndio wa chama kimoja.
Hutaona tofauti ya maana.
Wanasiasa huwa ni walewale.
 
Wana-CCM bwaaana... Akili zenu wote kama za Magufuli.


 
Maisha ya chama kimoja yalikuwa matamu Sana,ZIDUMU FIKRA ZA MWENYEKITI...NDIO ILIKUWA KAULI MBIU YETU..HATUKUA NA MUDA WA KUFIKIRI,MWENYEKITI ALIFIKIRI KILA KITU KWA NIABA YETU..
 
Endelea kusoma
Achana na siasa za Afrika
 
Tanzania imeingia kwenye mfumo wa kidikteta tangu 2015. Huyu mtawala wa sasa hata afanye nini hatopata heshima yangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…