Pole Na Majukumu Ya Kila Siku Mtanzania Mwenzangu, Vipi Umeshapata MAISHA BORA Kama Walivyokuahidi CCM 2005 Na 2010? Anayekuuliza Si Mwanasiasa, sam Ni Mwanaharakati!! Hebu Jiulize Hawa Wanaotoa Ahadi Wanakuonaje Wewe?
1, Ni -----
2, Ni Mjinga
3, Mpumbavu
4, Mwehu
5,Mwendawazimu
6, Una Ubongo Wa kuku? (Msahaulifu)
Mbona Wenyewe Wana Maisha Bora? Kwani Wewe Au Wenzetu Sio Watanzania? Kazi Kwako Mwaka 2015, Tafakari mapema its me JOT.