Maisha bora kwa kila mda-ganyika kasheshe kweli........

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,114
Reaction score
34,957
1507797_450565491709747_916598781_n.jpg

1545178_450565515043078_1080515663_n.jpg

1557713_450565455043084_429962292_n.jpg

1497706_450565405043089_930289207_n.jpg

1506794_450565418376421_1200267183_n.jpg
 
CCM oyeeee!!
Chagua Jokaya Mlishe Kiwete!!
kweli Watanzania aloturoga kafa!
badala ya kupambana na umaskini tumekalia kujiuliza diamond anatoka na nani
Mara Jepesi Bweka atahamia chama gani!
Mungu atusamehe!!
cc Ritz MziziMkavu
 
Last edited by a moderator:

Umenena mkuu
 
Mimi sikilaumu chama chochote kile kitakacho ongoza nchi mimi ninawalaumu wale wanaokipigia chama kinacho shinda kwa kuongoza kwa kura nyingi kuwa hao wananchi ndio wa kulaumiwa sio chama kilicho shinda kwa kura. Ikiwa chama huna imani nacho kwanini unakipa kura yako?wakulaumiwa ni wale wapigaji kura sio chama kilichoshinda kwa kura.
 
Teh teh teh .... Mkuu MziziMkavu umesahau hii ni Tanzania, 2010 wananchi walojiandikisha kupiga kura ni zaid ya milion 20, walopiga kura ni milion 8 tu, wengine hata hawakutaka kujua kituo kipo wapi, SI SABABU YA UJINGA WAO,
HAPANA, SABABU KUBWA WALISHAJU MSHINDI NANI, hata mkimchagua Padre mstaafu kwa kura zote, CCM wao ni KUBY-PASS KURA NA MSHINDI ANAPATIKANA KWA KISHINDO!!! Eti tume huru huapishwa na rais!! teh teh teh .... mimi simo, kwanza kucha zangu nishazitoa mwenyewe!
Najua FaizaFoxy na Ritz mshaniandalia prizer!!!
 
kp21032013.jpg
 
Mwenyeez Mungu aiwezeshe katuni hii itue kama atomic bomb Magogoni, maana mwenyewe Mkuu wa Kaya anayajua haya lakini hujifanya kipofu mwenye makengeza!!!
Ujumbe umekwisha fika kwa Wahusika iliyobaki ni Utekelezaji Pokofame
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom