Maisha bora kwa kila m-danganyika...............

pole sana mzizi Mkavu, ona sasa kanda2 zako zilivyochakaa, njoo dukan kwangu nikupe walau chachacha, zitakusaidia na miba
 
Watanzania tujifunge mikanda hali ni mbaya kwasababu ya vita vinavyoendelea nchini congo.
Nalog off
 


MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA.KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI.ZIDUMU FIKRA ZA MWENYEKITI

Hili ki akili haliwezikani, ispokuwa Kiuhalisia linawezekana. Yaani kwa mtu ambaye unamuona ana vaa hayo Makumbi, hua hatanii wala kuigiza. Hua ni kweli amelazimika na hana jinsi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…