Maisha bila unafki hayaendi

Baadae hizo picha ndio wataziwekwa kwenye ma-billboard wakati wa uchaguzi ili kuonyesha wanajali wananchi. Hapo ilitakiwa pawe na pump na hosepipes. Hivi hapo kwenye mind yake anawaza nini wakati amebeba hayo madumu ya maji ambayo ni mazito?!!
 
anajifanya mtu wa watu
 
Ahahahaaa eti bila unafki maisha hayaendi. sadly true!
 
Sema maisha na maendeleo ya mtu binafsi bila unafki ndani ya ccm hayawezekani
 
[Unafiki upi wenu huu....!!! CCM itaendelea kutawala Tanzania.[/COLOR][/B]
Labda itakutawala wewe, mamaako, dada zako, bibi yako, shangazi, zako, wifi zako, na ukoo wako mzima! Kwa Tanzania hata kuongoza haitaweza kuongoza milele ukiacha hiyo kutawala!
 
Yaani huyu jamaa kwa usanii hakuna mfano. Alafu ana mashaka, yaana baada ya kuwaibia wananchi miaka hiyo yote leo ndio anajidai ni mwenzao!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…