mabutu1835
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 1,136
- 1,916
π€Maisha ni siasa,na siasa ndio maisha yenyewe.
Ukitaka usisikie wala kufuatilia siasa basi inabidi uondoke duniani (uwe mfu)kinyume na hapo utaendelea kuona,kusikia,kuumia,kufurahia siasa zetu hizi za Africa zilizojaa vimbwenga vya kila aina
Kwahiyo usipofuatilia, siku wakipandisha Bei ya Mafuta wewe haitakuhusu?Katika vitu vinasababisha na kupunguza muda wa kuishi na afya ya akili ni masuala ya siasa. Kila siku ni kusababisha presha na hasira zisizo na maana. Utasikia mafuta yamepanda, umeme umekatika mara bomba la maji litatoa upepo, shule michango nk.
Huku kauli zao zikipandisha zaidi hasira na presha ya mtu mmoja mmoja na jamii kwa ujumla. Kwani haiwezekani kuishi bila kuwasikiliza au kuwafuatilia?
Nisisikilize taarifa ya habari yoyote, hakuna kusoma gazeti, nikitoka kibaruani nyumbani, nikiwasha redio au Tv ni zile za dini tu. Je haiwezekani au nifanyeje?π€π€π€
Msaada wenu wana JF
Kwani naweza kufanya nini wakiamua wanasiasa, mahakama na vyombo vingine vya dola ni vyaoKwahiyo usipofuatilia, siku wakipandisha Bei ya Mafuta wewe haitakuhusu?
Au usipofuatilia, siku wakipitisha hapo kwenye nyumba yako wakiuzia mwekezaji pakabomolewa wewe hutahusika??
Kwahiyo hapo ulipo wewe siyo chochote Wala lolote. Unaweza kufanywa chochote bila kufanya chochote. Unaweza hata kuinamishwa utachomekwa nyamaKwani naweza kufanya nini wakiamua wanasiasa, mahakama na vyombo vingine vya dola ni vyao
Duh, kwahyo wanasiasa wanainamishaga watu na kuwachomekea au?Kwahiyo hapo ulipo wewe siyo chochote Wala lolote. Unaweza kufanywa chochote bila kufanya chochote. Unaweza hata kuinamishwa utachomekwa nyama