Maisha ya chuo bila mkopo ni sawa na kuanza safari kutoka dar hadi zenji kwa kutumia mtumbwi
Namaanisha uwezekano wa kumaliza safari upo ila unamalizaje hapo ndo mwanzo wa kila kitu.
Kiukweli huwezi kusoma chuo bila support ya pesa ni heri ufanye ujasiriamali ukipata salio unaenda
Unatakiwa kula, kuvaa, kuwa na accademic properties kama laptop note books huduma ya stationery pia poket money ya kutosha.
Sasa hebu nambie bila mkopo panatosha hapo?? Maana sometimes hata mkopo pia hautoshi kabisa
Bora mtu utafute mishe ujipange vinginevyo mtu ataishia kuwa changudoa au hata gay maana haya yapo vyuoni. So bila mkopo mambo hayawezekani atleast uwe na mdhamini au mzazi mwenye salio la kutosha pia na yeye atagharamia hadi atanyoosha mikono