Maisha baada ya talaka

Ndoa za wakristo mpaka kifo kiwatenganishe mkuu ila huyo dada mbona ataolewa sana naa kuachika hajafikisha 30 talaka tayari
Siku hizi zinatenguliwa ni nnao mfano hai mmoja

Mwingine Joyce Kiria alifunga Ndoa St Joseph RC .na DJ Nelly wakatengana wamepeana talaka Joyce kaolewa na kilewo na Nely kaoa km sikosei last yr St.Peter
pale Oysterbay
 
my uncle ana ndoa ya Anglican ya baada ya utengano kaoa tena Pentocoste !
 
Kuna rafik yangu ameolewa Mara 3, tena kanisani, lile karibu na New Africa hotel. Sijui anafanyaje
Ila ukibadilisha dini ndoa inakufa kabisa
 
Ndio hivyo watu wanakataa ukweli na kukomaa had kifo wakat Kuna ndoa nying zimesababisha kifo kwa kupigwa na kunyanyaswa
 

kama hujui kitu kaa kimya
 
sielewi biblia inasema talaka ipo ila isababishwe na uzinzi kati ya wanandoa ndipo unatakiwa kumuacha mwenzio lkn ukija makanisani nako daaa sheria kibao mpk kifo,which is which sasa
 
Mtaguso wa mwaka jana wa vatikan unaozungumzia familia unaagiza watoto wa Mungu ikiwa wamefikia kutalakiana si vema iwapo sababu hizo zitakidhi ndoa kuvunjika


Mfano Ugumba kwa /ke/me ukichaa kwa mwenza mmoja kuathirika na sababu nyingine zito

Mtaguso umerihusu watoto wa Mungu kujitaftia fraha tena...

Tumsifu yesu kristo..
 
Maandiko yanasema; amuachae mke wake isipokuwa kwa habari ya uasherati anatenda dhambi ya uzinzi.
 

HILI NI TANGAZO LA KIAINA,
INGAWA LIMEKOSA PICHA.
 

Usilisemee kanisa katolikii wakai hulijui kuliko Wakatoliki wenyewe
 
Siku hizi zinatenguliwa ni nnao mfano hai mmoja

Mwingine Joyce Kiria alifunga Ndoa St Joseph RC .na DJ Nelly wakatengana wamepeana talaka Joyce kaolewa na kilewo na Nely kaoa km sikosei last yr St.Peter
pale Oysterbay
Zinatenguliwa kidunia ila ulimwengu wa roho inakua palepale ndo mana MTU akianza kuachika ndoa moja na nyingine hivi hivi, maagano hata ukienda mahakamani huwatesa wengi mno tena kiapo MTU anachosema Mpaka kifo kiwatenganishe nalilofungwa duniani ni mpaka mbinguni.
 
Hakuna cha tangazo Kwan talaka kitu kigen kwa mwaka ndoa ngap zinatalakiana, hili liko kwenye jamii na maisha yanasonga mbele, mleta uzi kaja kujua Zaid undan wa hili ili ajue maisha mapya ataanzaje na c kila ansyeachika kashindikana wengine yaliyokua yanawasibu huko kwenye hizo ndoa zao wanajua wao
 
Katika maandiko tunaruhusiwa kuachana kwa habari ya UZINZI!!
 
sielewi biblia inasema talaka ipo ila isababishwe na uzinzi kati ya wanandoa ndipo unatakiwa kumuacha mwenzio lkn ukija makanisani nako daaa sheria kibao mpk kifo,which is which sasa
Ukitaka kuwa huru kiroho, fuata Biblia. Biblia inaruhusu talaka kama mwanandoa amezini nje ya ndoa na baada ya hapo kila mtu yupo free.
Hata kama kanisa lina kanuni zake, still Biblia ibaki na ukweli wake kuhusu ndoa.

Unadhani kwann uzinzi tu ndo unaondoa msingi wa ndoa?
Kwa sababu agano la ndoa limejengwa ktk tendo la ndoa, na mwanandoa anapozini nje bas amevunja agano la ndoa yake...!!! Hvyo hamna namna nyingine ya kufanya hasa kwa wale ambao wana roho nyepesi, lakini kama una roho ya kuvumilia bas unaweza mvumilia na kusamehe.

Suala jingine, vile viapo tunavyoapa, ktk viapo vyote hakuna kiapo cha kuvumilia UZINZI.
 
Naomba mstari ktk Biblia kwa proof zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…