Maisha baada ya kumzika mwanangu

Binadam tumeambiwa kusahau, hiyo Hali itaisha baada ya muda. Ni kawaida kupitia Hali uliyonayo, Cha msingi usijidhuru.

Pole sana, hapa wengi tunaongea na kuelewa unachopitia lakini wewe binafsi ndio unajua uchungu na maumivu uliyonayo.

Sasa jiulize hili swali, wewe ni WA kwanza kufiwa na mtoto? Wewe ni WA kwanza kufiwa na ndugu? Majibu ya hayo maswali yote ni hapana, kama hao waliotangulia kufikwa na misiba wameendelea na maisha, elewa kwamba hata wewe hii Hali itapita baada ya muda.

Usiwaze kujidhuru Wala kutoa uhai wako, itaathiri utendaji wa kazi na maisha Yako usipokua makini.

Be Still
 
Naishi peke yangu mama yake tulikuwa hatukai pamoja ila yeye baada ya msiba amehama mkoa kabisa.

[emoji1432]hii kauli sijaielewa.
 
Nature ya kila kiumbe chenye uhai mwisho wake ni kifo,tunaumia kwa kuondokewa coz ya mazowea tu.

Jichanganye na watu mkuu,usipende kukaa peke yako.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…