Maisha baada ya kifo

Powerman

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2019
Posts
344
Reaction score
325
Life after death ni thread special nimeiandaa ili tuweze kuichambua kwa kina. Je, wewe unaamini katika nadharia ipi ya kwamba mtu akifa huzaliwa upya au huenda peponi na waliotenda mabaya duniani hupelekwa motoni kama stori za vitabu vya dini inavyosema?

Toa uzoefu wako hapo chini.
 
Siku unayokufa ndio mwisho wako.Ila ni bora ukaamini tu kua Mungu yupo ili likitokea la kutokea unakua uko kwenye safe zone.(kaa humu)
 
Siku unayokufa ndio mwisho wako.Ila ni bora ukaamini tu kua Mungu yupo ili likitokea la kutokea unakua uko kwenye safe zone.(kaa humu)
i
Siku unayokufa ndio mwisho wako.Ila ni bora ukaamini tu kua Mungu yupo ili likitokea la kutokea unakua uko kwenye safe zone.(kaa humu)
hakika mkuu wengi tunaamini hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…