Ramea
JF-Expert Member
- Mar 19, 2015
- 2,146
- 4,090
Nina twins wenye miezi tisa. Katika kuzaliwa kwao kulikuwa na complication kidogo hasa kwa Doto, ambaye alikaa vibaya na tulitegemea atatoka kwa operation, lakini Mungu akatia wepesi, wote walizaliwa kwa njia ya kawaida. Aligeuka vizuri baada ya mwenzake kutoka, Mana yeye alilala kiubavu.
Nirudi kwenye mada, huyu wa kwanza kuzaliwa ana afya Njema tu amemzidi mwenzie kama kilo moja na gram 400 hivi. Katika mahudhurio yao clinic Nesi ameshauri tutumie Maini Kama lishe kwa mama na watoto. Kiukweli hapa nyumbani maini ya kitimoto hayaishagi (hata leo yapo nimenunua kilo na nusu) ila sijawahi kuwapa watoto, tunakula tu wenyewe.
Je, haya yanafaa kwa watoto? Mana Nesi kasema tu 'maini' hajawa specific, kama ya mbuzi, ng'ombe, kitimoto au kuku.