Maina Owino wa CCM UK awashukia wabunge wa CHADEMA juu ya kumsusia JK

Hivi bunge lisiloleta maendeleo kwa wananchi lina utukufu gani? bunge ambalo linaketi kama kikao cha CCM au kikao cha walevi wasiotaka kupingwa, hata kwa hoja?

Hivi ni mara ngapi tunashuhudia bunge likiwa tupu kabisa au likiwa na wabunge wanaouchapa usingizi baada ya kazi nzito ya kutumbua maraha usiku at an expense of our kodiz?

Then fools like Maina hawaoni hili wanakuja kuturembulia macho humu na posts zao zisizo na kichwa wala miguu..pheeeuw.
 
Ukisikia kauli kama hizo za akina Owino sijui Awina unajiuliza kama kulikuwepo na upigaji kura. Kama mtu ulijiandikisha kupiga kura kihalali, ukapiga kura kihalali kisha kura yako ikaibiwa lazima utakuwa na machungu kwenye haki yako kuibiwa. Kama huna hiyo sense basi huenda hukupiga kura au una support hayo yanayofanywa na JK pamoja na genge lake.
 
Owino sio mtanzania ndio maana hana uchungu na wananchi, mtu kuja? Akili finyu sana huyo, wabunge wa chadema msibabaishwe na kijitu kama hicho, halina mwelekeo wala akili timamu

uyu jamaa si mkenya aliyekimbilia dar kusoma? Nasikia ni mkimbizi USA anakaa mitaa ya wazibua mitaro! Uyu mkimbizi anataka kututibua wabongo si atulie uko na ka full sikolashipu alikopata? Sie ndo watz bwn,hatutaki wakenya kuingilia maamuzi ya watz,kaungane na musyoka mkituibie mt.kilimanjaro! Hamnazo. Otieno,oh sori owino!
 
@Maina Owino, Kwani nani kakuambia kuwa ile siku wabunge walikua wanafanya kazi walizotumwa na wananchi? Ebu jaribu kufikiria walau kidogo.... Sisi wapiga kura hatukuwatumwa wabunge wetu waende kumsikiliza JK bungeni, kazi tuliyowatuma tunaamini wataifanya... SUbiri, utaona moto wake siku c nyingi. Na kama upo nje nchi, unategemea kuja kupata ubunge kwa kupitia CCM hesabu imekula kwako... TZ ya leo imebadilika,watu wanataka fikira mpya sio kama hizo zako.
 
Watu wengine nawashangaa kweli, hivi walitaka maelewano ya namna gani? Kisheria haturuhusiwoi kuhoji mahakamani. Kwenda msituni ni uhaini, kuingia barabarani na kuitisha maandamano si ustaarabu, sasa walitaka wabunge we2 wa ukweli wafanyeje? Hii ndo shida ya people who are myopic. Uko Uingereza hujajua namna ya kudai haki bado? Tatizo la wa2 mliopelekwa majuu kwa pesa za kifisadi na hii imewafanya mfumbwe macho na kutoona mnayopaswa kuyaona! Subiri tu viti maalum au Uteuliwe!
 
dondosha tone la maji kwenye kisima kilichotulia uone mawimbi yake yanavyotapakaa.

My take, read between the lines you will understand. There are more things than you may thought "have a break, have a kit kat"


Kiswahili hujui, kingereza taabu, fikra finyu................. ungekaa kimya tusingegundua matatizo yote haya. Siasa huziwezi.
 

Wewe unaongea kama uliyeridhika na umasikini wako wa kimawazo kwa nini hukumambia Kikwete na Nec unasubiri Chadema wamsusie Kikwete ndipo uone kuna kosa? Mbona swala hili limewauma sana Wana CCM? Na mbona nyinyi hamuangali chanzo ambacho ni Ccm na na Nec kuiba kura za wananchi? Mnakimbilia kuwashutumu tu Chadema? Anzeni kuishutumu Nec na Ccm kwanza. Kisha mje kwa Chadema.
 
Anaongea kitu gani huyu owino" huyu si nikibaraka wa ccm!Tena ni mwenyekiti wa tawi la ccm huko Reading na wala sio london..
 

Jamaa ananifurahisha kweli eti Chadema wameasisi mkakati ulioshindwa kabla haujaanza, da huyu kweli yuko Uingereza, amuulize JK alivyohamaki na kukosa mood alipoona jamaa wanatoka. Leo nimeamini kumbe unaweza kuishi dunia ya kwanza ukabaki na upuuzi wako wa dunia ya tatu.Pole Owino, subiri wakupe cheo wakiwa wanakijenga upya chama chao baada ya kuangushwa 2015
 
Majina yote mawili sounds like a kikuyu person,kama sio basi ana origin ya uko.
Tunaomba utuache na mstakabali wa nchi yetu unaongelea NIDHAMU kwenye suala la wizi kama unanufaika na serikali ya CCM kaa kimyaa.
UKkO KWENU KENYA MBONA MLIZIPIGA SEMBUSE SISI KUTOKA NJE
 
Huyu kalumekenge kweli mlamba makalio..

Vidonge vyenyewe vi wapi? Kama hawa ndio wasomi wenyewe wa kuwategemea kweli tunalo.
 
Mkuu nilitaka nikungongee Thanks zaidi ya mbili imeshindikana! huwezi ukasajiliwa na ccm ukawasaidie mkuu sababu usajili wao ni wavilaza tuu!
 
Eti Maina Owino wa ccm uk, what is the point here? kuwa uk au kuwa maina owino. maina owino ni nani, just a certain bogus aliyeshindwa kumpiku profesa sarungi anajipendekeza kupata viti maalumu.aaaaaagh
 

Muombe radhi Maina ni 'He' sio 'She'.
 

Thanx Maina , ukweli umeusema. Tunasema 'SEMA UKWELI JAPOKUWA NI MCHUNGU' ujumbe umefika japokuwa wengine inawauma sana kusikia haya maneno yako yaliyojaa hekima na busara, Thanx !
 

hii ndio aina ya watanzania walioko ughaibuni,hawana uzalendo wala mchango wowote kwa taifa,jifunzeni kwa wenzenu kama wachina.kwa sababu mmetutosa kamwe msikanyage bongo tuacheni wapenda nchi tuirekebishe nachelea kusema HAPANA KWA DUAL CITIZENSHIP!"YOU ARE EITHER WITH US OR AGAINST US"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…