engmtolera
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 5,150
- 1,437
hii nchi jamani itakombolewa na watu ambao wataamuwa kujitoa kwa ajili ya wengine,kuna watu kama OWINO wanahitaji msaada wa kimawazo juu ya mstakabali wa hii nchi kiuchumi,kisiasa na kimaendeleo,
ndugu owino wabunge wa chadema hawana makosa,wamewawakilisha wapigakula wao ambao pia hawakubaliani na kitendo cha nec kumtangaza jamaa kuwa mkuu wa nchi,pia kumbuka kuwa hakuna shelia inayomlazimisha mtu yeyote kumsikiliza raisi wakati akiwa anahutubia ili mladi asivuluge haki ya wengine sijue kama owino unalijuwa hilo ama upo nje basi unadhani kuwepo nje ni kujuwa siasa bado unafikra mgando
ebu soma katiba vizuri( Ibara ya 41 Ibara ndogo ya 7 ya katiba yetu inakataza matokeo ya urais kuchunguzwa baada ya kutangazwa na Nec) sasa ulitaka chadema wafikishe vipi ujumbe wao waliotumwa na wapiga kula wao? nipe jibu wewe mrs uwino
mapinduziiiiiiii daimaaaaaaaa