Maina Owino wa CCM UK awashukia wabunge wa CHADEMA juu ya kumsusia JK

MAWINO

Member
Jul 26, 2010
25
5
Tarehe Thu Nov 18, 09:28:00 PM, Mtoa Maoni: MAINA ANG'IELA OWINO

CHADEMA mtindo huu wa Siasa za Shangwe umepitwa na wakati hasa ktk Taifa lenye uchumi unaohitaji changamoto za mawazo ya kusonga mbele.

Hii ni kushiriki Demokrasia isiyo na NIDHAMU hasa kwa Watanzania waliowatuma kuwawakilisha BUNGENI.

Watanzania mliowachagua hawa ndugu mjue imekula kwenu maana wao mishahara watavuta kutoka kwenye KODI zenu.

Kwa kweli vijana wenzetu bila kujali ITIKADI ya vyama, sikutegemea hata wewe Zitto, Halima Mdee,Mnyika na Vincent Nyerere kuwakebehi wananchi waliowachagua nyinyi na Rais Kikwete kwa kuondika nje ya BUNGE lao tukufu.Hii ni HAKI yenye AIBU.

Siamini kama mlimshirikisha Mhe. Mabere Marando kusaini mishahara yenu na kwenda kupunga upepo kwa ufahari nje ya Bunge wakati linafunguliwa rasmi.Haya yangefanyika kwenye jukwaa la kongamano au siasa za halaiki.

Bila shaka hamkutaka kusikia na kukubaliana na wito wa Rais kuwa nyinyi wabunge mtumie muda mwingi kuwasikiliza wananchi.

Je,mtatoka mara ngapi?.
Na kwa idadi yenu mtaathiri maamuzi ya Bunge kwa utaratibu wake kusaidia wananchi kwa kiasi gani?
Kwa shida na mahitaji ya wananchi bado wana wakati wa kusikiliza utetezi wa ilani ya chama cha siasa au utekelezaji wa Serikali ya Chama kilicho madarakani.

Mhe. Lisu,kaka yangu msomi, hizi siyo mbinu ktk harakati za mabadiliko ya kisasa.Nchi yenu ilizitupilia mbali hata wakati wa kudai UHURU. Nilidhani unazijua na utawaongoza wenzio vizuri kwa mbadala angalau wenye mkakati...

Halima Mdee, nisikilize kwa makini. Tanuru unalopita limeziba mbele na mwanga uonao ni moto mkali. Hujafika mbali Geuza mkakati,maana nyota yako ktk siasa za kitaifa hazifai kuchomeka kizembe kwa kuongozwa na vipofu wa mkakati ulioshindwa kabla haujaanza.

MAINA ANG'IELA OWINO.
(SOURCE:MICHUZI BLOGSPOT)
 
we dont need watu kama hawa tena nigefurahi sana kama huyu mtu (whatever she is) angehamia kabisa huko huko UK na asirudi kwanza kura hakupiga... Na mimi kama mtanzania niliopiga kura na kuwatuma Chadema bungeni ninaunga mkono kwa walichofanya..... Pili sijui kama huyu dada ni ignorant au anajifanya chizi, Chadema haitagomea Bunge iligomea Hotuba ya mtu ambayo inaamini kuwa uchaguzi wake haukuwa halali therefore evertime huyu bwana akihutubia jamaa hawamsikiliza and for that nawaunga mkono...... We dada i will be very happy kama utachukua uraia wa hukohuko i think we need less people like you here
 
Huyu Maina ni sifuri kabisa. Huyu mtu alikuwa tapeli wa vyumba pale alipopapata uongozi pale Mlimani, leo ana gutz za kuwakebei wana mageuzi.
 
Mr. Owino nakushauri uendelee kubeba maboksi na kama ukiweza kupata nguvu na muda kidogo jioni ujitahidi kusoma vitabu kidogo vya siasa ili uielewe siasa kidogo na uwe na argument inayoeleweka. You seem to know very little about politics and it's odd that you believe you can advice others.
 
Tarehe Thu Nov 18, 09:28:00 PM, Mtoa Maoni: MAINA ANG'IELA OWINO

CHADEMA mtindo huu wa Siasa za Shangwe umepitwa na wakati hasa ktk Taifa lenye uchumi unaohitaji changamoto za mawazo ya kusonga mbele.

Hii ni kushiriki Demokrasia isiyo na NIDHAMU hasa kwa Watanzania waliowatuma kuwawakilisha BUNGENI.

Watanzania mliowachagua hawa ndugu mjue imekula kwenu maana wao mishahara watavuta kutoka kwenye KODI zenu.

Kwa kweli vijana wenzetu bila kujali ITIKADI ya vyama, sikutegemea hata wewe Zitto, Halima Mdee,Mnyika na Vincent Nyerere kuwakebehi wananchi waliowachagua nyinyi na Rais Kikwete kwa kuondika nje ya BUNGE lao tukufu.Hii ni HAKI yenye AIBU.

Siamini kama mlimshirikisha Mhe. Mabere Marando kusaini mishahara yenu na kwenda kupunga upepo kwa ufahari nje ya Bunge wakati linafunguliwa rasmi.Haya yangefanyika kwenye jukwaa la kongamano au siasa za halaiki.

Bila shaka hamkutaka kusikia na kukubaliana na wito wa Rais kuwa nyinyi wabunge mtumie muda mwingi kuwasikiliza wananchi.

Je,mtatoka mara ngapi?.
Na kwa idadi yenu mtaathiri maamuzi ya Bunge kwa utaratibu wake kusaidia wananchi kwa kiasi gani?
Kwa shida na mahitaji ya wananchi bado wana wakati wa kusikiliza utetezi wa ilani ya chama cha siasa au utekelezaji wa Serikali ya Chama kilicho madarakani.

Mhe. Lisu,kaka yangu msomi, hizi siyo mbinu ktk harakati za mabadiliko ya kisasa.Nchi yenu ilizitupilia mbali hata wakati wa kudai UHURU. Nilidhani unazijua na utawaongoza wenzio vizuri kwa mbadala angalau wenye mkakati...

Halima Mdee, nisikilize kwa makini. Tanuru unalopita limeziba mbele na mwanga uonao ni moto mkali. Hujafika mbali Geuza mkakati,maana nyota yako ktk siasa za kitaifa hazifai kuchomeka kizembe kwa kuongozwa na vipofu wa mkakati ulioshindwa kabla haujaanza.

MAINA ANG'IELA OWINO.
(SOURCE:MICHUZI BLOGSPOT)
Nawashukuru CHADEMA kwa changamoto yao katika siasa, maana kwa kufanya hivyo wamefungua hoja nyingi za watu zinazoonyesha ufahamu wao wa demokrasia. Inaelekea watu wengi, kama huyu mtoa maoni, haelewi mchakato mzima wa demokrasia unakwendaje. Watu wengi bado wanatawaliwa na fikra za udikteta wa chama kimoja, kutukuza viongozi na utamaduni wa 'ndio mzee'. Nina hakika wakati utafika ambapo sote tutakuwa tunaielewa na kuitekeleza demokrasia halisi kwa maendeleo ya nchi yetu na wananchi wote kwa ujumla.

Ps. Maandishi mekundu ni hoja zake tata ambazo angezitolea ufafanuzi.
 
Mawino .... Bure kabisa, Waste of Space, thank God haupo nchini kuendelea kutupunguzia oxygen. I know some people Home Office huko UK nitafute nikufanyie mpango uhamie kabisa hukohuko, usirudi
 
Owino sio mtanzania ndio maana hana uchungu na wananchi, mtu kuja? Akili finyu sana huyo, wabunge wa chadema msibabaishwe na kijitu kama hicho, halina mwelekeo wala akili timamu
 
Maina ni mtu mbinafsi period. Yeye huko Uingereza haki zake zote zinalindwa na katiba, lakini hataki watanzania wapate katiba itakayolinda haki zao. Ni jambo la kushangaza kuona watu wenye exposure kama kina Maina wanashindwa kukemea NEC inapoharibu matokeo kwa makusudi lakini wanakuwa wepesi kukemea kitendo cha CHADEMA cha kutoka nje ya BUNGE.
 
Tarehe Thu Nov 18, 09:28:00 PM, Mtoa Maoni: MAINA ANG'IELA OWINO

CHADEMA mtindo huu wa Siasa za Shangwe umepitwa na wakati hasa ktk Taifa lenye uchumi unaohitaji changamoto za mawazo ya kusonga mbele.

Hii ni kushiriki Demokrasia isiyo na NIDHAMU hasa kwa Watanzania waliowatuma kuwawakilisha BUNGENI.

Watanzania mliowachagua hawa ndugu mjue imekula kwenu maana wao mishahara watavuta kutoka kwenye KODI zenu.

Kwa kweli vijana wenzetu bila kujali ITIKADI ya vyama, sikutegemea hata wewe Zitto, Halima Mdee,Mnyika na Vincent Nyerere kuwakebehi wananchi waliowachagua nyinyi na Rais Kikwete kwa kuondika nje ya BUNGE lao tukufu.Hii ni HAKI yenye AIBU.

Siamini kama mlimshirikisha Mhe. Mabere Marando kusaini mishahara yenu na kwenda kupunga upepo kwa ufahari nje ya Bunge wakati linafunguliwa rasmi.Haya yangefanyika kwenye jukwaa la kongamano au siasa za halaiki.

Bila shaka hamkutaka kusikia na kukubaliana na wito wa Rais kuwa nyinyi wabunge mtumie muda mwingi kuwasikiliza wananchi.

Je,mtatoka mara ngapi?.
Na kwa idadi yenu mtaathiri maamuzi ya Bunge kwa utaratibu wake kusaidia wananchi kwa kiasi gani?
Kwa shida na mahitaji ya wananchi bado wana wakati wa kusikiliza utetezi wa ilani ya chama cha siasa au utekelezaji wa Serikali ya Chama kilicho madarakani.

Mhe. Lisu,kaka yangu msomi, hizi siyo mbinu ktk harakati za mabadiliko ya kisasa.Nchi yenu ilizitupilia mbali hata wakati wa kudai UHURU. Nilidhani unazijua na utawaongoza wenzio vizuri kwa mbadala angalau wenye mkakati...

Halima Mdee, nisikilize kwa makini. Tanuru unalopita limeziba mbele na mwanga uonao ni moto mkali. Hujafika mbali Geuza mkakati,maana nyota yako ktk siasa za kitaifa hazifai kuchomeka kizembe kwa kuongozwa na vipofu wa mkakati ulioshindwa kabla haujaanza.

MAINA ANG'IELA OWINO.
(SOURCE:MICHUZI BLOGSPOT)

Siwezi kumshangaa mtu kama huyu; kwanza si mtanzania,na hivyo hawezi kuwa na machungu na maendeleo ya TAIFA LETU. Tunkiwa na watu kama hawa kina Maina Ang'ela Owino Tanzania itabaki palepale kwenye "zidumu fikra za mwenyekiti wa chama cha mafisadi", mikakati ya "ndio mzee" pasipo kuona mbele. Rudi Bongo (kama ni kwenu) uone ni kwa nini watu wanataka mabadiliko ya kweli, nchi iendeshe kwa demokrasia na shughuli kuu ya serikali iwe ni kuleta maendeleo kwa wananchi wake... sio familia na matumbo ya wachache.
 
Tarehe Thu Nov 18, 09:28:00 PM, Mtoa Maoni: MAINA ANG'IELA OWINO

CHADEMA mtindo huu wa Siasa za Shangwe umepitwa na wakati hasa ktk Taifa lenye uchumi unaohitaji changamoto za mawazo ya kusonga mbele.

Hii ni kushiriki Demokrasia isiyo na NIDHAMU hasa kwa Watanzania waliowatuma kuwawakilisha BUNGENI.

Watanzania mliowachagua hawa ndugu mjue imekula kwenu maana wao mishahara watavuta kutoka kwenye KODI zenu.

Kwa kweli vijana wenzetu bila kujali ITIKADI ya vyama, sikutegemea hata wewe Zitto, Halima Mdee,Mnyika na Vincent Nyerere kuwakebehi wananchi waliowachagua nyinyi na Rais Kikwete kwa kuondika nje ya BUNGE lao tukufu.Hii ni HAKI yenye AIBU.

Siamini kama mlimshirikisha Mhe. Mabere Marando kusaini mishahara yenu na kwenda kupunga upepo kwa ufahari nje ya Bunge wakati linafunguliwa rasmi.Haya yangefanyika kwenye jukwaa la kongamano au siasa za halaiki.

Bila shaka hamkutaka kusikia na kukubaliana na wito wa Rais kuwa nyinyi wabunge mtumie muda mwingi kuwasikiliza wananchi.

Je,mtatoka mara ngapi?.
Na kwa idadi yenu mtaathiri maamuzi ya Bunge kwa utaratibu wake kusaidia wananchi kwa kiasi gani?
Kwa shida na mahitaji ya wananchi bado wana wakati wa kusikiliza utetezi wa ilani ya chama cha siasa au utekelezaji wa Serikali ya Chama kilicho madarakani.

Mhe. Lisu,kaka yangu msomi, hizi siyo mbinu ktk harakati za mabadiliko ya kisasa.Nchi yenu ilizitupilia mbali hata wakati wa kudai UHURU. Nilidhani unazijua na utawaongoza wenzio vizuri kwa mbadala angalau wenye mkakati...

Halima Mdee, nisikilize kwa makini. Tanuru unalopita limeziba mbele na mwanga uonao ni moto mkali. Hujafika mbali Geuza mkakati,maana nyota yako ktk siasa za kitaifa hazifai kuchomeka kizembe kwa kuongozwa na vipofu wa mkakati ulioshindwa kabla haujaanza.

MAINA ANG'IELA OWINO.
(SOURCE:MICHUZI BLOGSPOT)

:rockon::rockon::horn:
 
Who the hell is Maina a Kikuyu or a Luo? Mr Omera this is Tanzania wewe endeleea kunywa chang'aa afterall you didn't vote so leave us alone she..........z type.
 
Na wewe mleta hoja uwe unaangalia ni maoni ya mtu gani unatuletea nimeona heading nikafikiri ni za mtu kumbe ni bogus fulani bwia unga umeliokota mitaa ya east london, inawezekana hata VISA yake ime expire ngoja nimreport UK Border Agency wamfuatilie.
 
Who the hell is Maina Owino and why should we care what he thinks?
He is one of the most corrupt DARUSO fisadis. Him and his cronies Maimu and Mafuru introduced the cult of selling rooms at UDSM, of course their cheprone being Mrs/Ms bali
 
Tarehe Thu Nov 18, 09:28:00 PM, Mtoa Maoni: MAINA ANG'IELA OWINO

CHADEMA mtindo huu wa Siasa za Shangwe umepitwa na wakati hasa ktk Taifa lenye uchumi unaohitaji changamoto za mawazo ya kusonga mbele.

Hii ni kushiriki Demokrasia isiyo na NIDHAMU hasa kwa Watanzania waliowatuma kuwawakilisha BUNGENI.

Watanzania mliowachagua hawa ndugu mjue imekula kwenu maana wao mishahara watavuta kutoka kwenye KODI zenu.

Kwa kweli vijana wenzetu bila kujali ITIKADI ya vyama, sikutegemea hata wewe Zitto, Halima Mdee,Mnyika na Vincent Nyerere kuwakebehi wananchi waliowachagua nyinyi na Rais Kikwete kwa kuondika nje ya BUNGE lao tukufu.Hii ni HAKI yenye AIBU.

Siamini kama mlimshirikisha Mhe. Mabere Marando kusaini mishahara yenu na kwenda kupunga upepo kwa ufahari nje ya Bunge wakati linafunguliwa rasmi.Haya yangefanyika kwenye jukwaa la kongamano au siasa za halaiki.

Bila shaka hamkutaka kusikia na kukubaliana na wito wa Rais kuwa nyinyi wabunge mtumie muda mwingi kuwasikiliza wananchi.

Je,mtatoka mara ngapi?.
Na kwa idadi yenu mtaathiri maamuzi ya Bunge kwa utaratibu wake kusaidia wananchi kwa kiasi gani?
Kwa shida na mahitaji ya wananchi bado wana wakati wa kusikiliza utetezi wa ilani ya chama cha siasa au utekelezaji wa Serikali ya Chama kilicho madarakani.

Mhe. Lisu,kaka yangu msomi, hizi siyo mbinu ktk harakati za mabadiliko ya kisasa.Nchi yenu ilizitupilia mbali hata wakati wa kudai UHURU. Nilidhani unazijua na utawaongoza wenzio vizuri kwa mbadala angalau wenye mkakati...

Halima Mdee, nisikilize kwa makini. Tanuru unalopita limeziba mbele na mwanga uonao ni moto mkali. Hujafika mbali Geuza mkakati,maana nyota yako ktk siasa za kitaifa hazifai kuchomeka kizembe kwa kuongozwa na vipofu wa mkakati ulioshindwa kabla haujaanza.

MAINA ANG'IELA OWINO.
(SOURCE:MICHUZI BLOGSPOT)

Kajadili haya kwenye nchi yenu tuachie nchi yetu mamluki wewe!!!!
 
Ni Katibu Mkuu wa zamani wa DARUSA pale Mlimani.

Kumbukumbu zinaonyesha ya kwamba alisaliti sana wanafunzi wenziye pale na wengi kufukuzwa chuo miaka hiyo kwa kupanwa kichwani na U-CCM. President Eng Maimu, rais aliyekuja baada ya kifaa Mh Kitila Mkumbo, ndiye alikua bosi wake. Matatizo ya vyumba bwenini kupigwa mnada usiseme. Baada ya hapo, alitoka moja kwa moja chuoni na kwenda kugombea ubunge kwao huko.

Huyu bwana, mpinzani wake jimboni Mara Mara huko alikua ni Mzee Prof Sarungi ambaye inasemekana ilibidi amuweke kwenye pipa aruke huko maughaibuni kusaka elimu zaidi. Japo aliahidiwa na huyu mfadhili wake kwamba kwa jinsi uzee unavyomnyemelea kwa kasi mno, akampishe tu kwa wakati huo na baadaye atarajie kupigwa tafu kuukwa ubunge sijui wa jimbo gani vile.

Kwa mara ya mwisho alisemekana KUCHAKACHULIWA kwenye uteuzi na badala yake kulipwa Scholarship aruke nayo kwa mama Thatcher. Labda baada ya kuosha sana macho huko kwa wenzetu huenda kabadilika, huwezi kujua ...

Hivyo kauli yake hiyo hapo juu, kwa wanaomfahamu vema, wala isingekua vema zaidi ya hapo.
 
Back
Top Bottom