TRACEY INNO
Member
- Mar 14, 2014
- 31
- 7
Habari wana jf....
Mbona hii mail ya tpb majanga? Msaada kama kuna yeyote anayeweza kutuma maombi anisaidie.
Mbona hii mail ya tpb majanga? Msaada kama kuna yeyote anayeweza kutuma maombi anisaidie.
What is tpb???????Habari wana jf....
Mbona hii mail ya tpb majanga? Msaada kama kuna yeyote anayeweza kutuma maombi anisaidie.
what is tpb???????
m nimetuma cv tu n sawa jamani au nimebugi?
mana file haliend
Punguza file then resend
Habari wana jf....
Mbona hii mail ya tpb majanga? Msaada kama kuna yeyote anayeweza kutuma maombi anisaidie.[ jaribu kutuma tena zinaenda mkuu
Kazi hizo zote zinawatu mbona sisi tuko kazini jamani. Msijisumbue,