Maiko Jackson njooo.... Kama hutaki nenda.

Ha haa haaa those were the days!

Ratiba yangu ilikuwa kama ifuatavyo,
Jummosi kama leo mida kama hii nakwenda zangu kuogelea TTI Club Kidatu huko,
saa saba nakwenda kuangua maembe Ng'ongo na makungu,
Saa tisa tunakwenda kuendesha malingi ya magari,
Saa 12 narudi TTI Club kuangalia Video ya KOmando john
Saa 2 narudi home nyumba namba 28
nikifika home napita mlango wa nyuma, mara naitwa na mshua kwa ajili ya bakora kwa nini sijakwenda Tuition kwa mwalimu Chacha?
Nikitoka kwenye bakora za mshua naingia chumbani ili mshua aone kuwa ameniumiza sana najifunga vitambaa sehemu zote nilizovimba kwa ajili ya bakora za mshua, then nakwenda kula na vitambaa (bandeji) zangu.

Hahaa haaaa.... Xmas sasa ikifika ngoma ndo hizo za kina Maiko Jackson, james Ingram, Mavin gaye, makali wetu wa ku-sakata dance alikuwa jamaa anaitwa Aigele na maulid mrisho washikaji ambao siku zote za sherehe kama hizo walikuwa wanachukua zawadi za Double cola na seven up!

Zamani raha sana ilikuwa...
Nimecheka sana, hapo mezani kwenu walikuwa hawakucheki na matambara yako?
 
Kama id yako "Nashukuru" kwa kunivunja mbavu.Kunywa double cola moja au ski,ntalipa!😂😂😂😂
 
Naomba nijuzwe, huu wimbo uliimbwa na nani na unaitwaje?
Enzi hizo huku kuna nyimbo za Bob Marley zipo hot.
--casava iva.[emoji443][emoji443][emoji441]
--buju biloo.[emoji443][emoji443][emoji441]
Hatari na nusu..

Na Ile ya alpha blond ..
Nyelele kendaa Argentinaa[emoji443][emoji450][emoji441][emoji441][emoji450][emoji443][emoji441],nyelele kendaa Argentinaa.
 
Ujanja wangu woye kuna wimbo nilikuwa siujui jina...japo nilikuwa naupiga sana club nikiwa nimeu rename kwa jina ........(nililojitungia).
Ila leo ndio nimejua rasmi jina lake
 
Back
Top Bottom