Maigizo ya Lulu na Kanumba Ijumaa

Maigizo ya Lulu na Kanumba Ijumaa

Chizi Fureshi

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2010
Posts
1,718
Reaction score
462
Nasikia hawa watoto walitaka kuigiza kufa na kufufuka! Sasa imekuwa bahati mbaya steve kaenda jumla, hakufufuka
 
kusoma hujui, hata picha huioni?- mwana fa
kama kuona huoni, hata kupapasa huwezi?- lusinde
 
Mh!!
Tuwe wastaarabu bwana,MAREHEMU HAWATUKANWI kwani hawana FURSA ya KUJIBU tuhuma hizo!
 
kiukweli tumwachie Mungu afumbue fumbo hili, "nani mwenye makosa Lulu au Marehemu Kanumba"
 
Back
Top Bottom