Wana mtandao wa CCM wamefanikiwa kuteka taifa letu
Sasa kwa gharama ya bilioni 700 za walala hoi muda ambao hakuna pesa za kuwalipa makandarasi wa barabara na reli nchi inaenda kwenye chaguzi za maigizo za chama tawala na chama sindikizi ambacho kilitengenezwa na mwana mtandao asilia
Uchaguzi ambao Watanzania wameshajua ni maigizo ni wa aibu na utafuta heshima ya nchi na Raisi Samia ambaye ameonyesha kutojiamini.
CCM-B ni ACT wanzalendo