Maigizo ama...!?

Mwenye kiti wa serikali ya mtaa uko Somalia anamiliki kifaru cha kivita wakati monitor wa darasa tu ana mabomu ya kurusha kwa mkono,sishangai ticha kuingia na mtutu.
 
Hivi rate ya ujambazi somalia ipoje? Achana na proffesion yao uharamia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…