Wana JF naomba mtu ayefahamu historia yake huyu Maige atumwagie humu kama; 1. Alikuwa mtabiri mashuhuri 1979-1992 2. Alifanya kazi katika kampuni ya Pacha watatu 1993-1998 ? tuweze kuangalia kama anauwezo wa kutabiri nani alimshawishi kugombea ubunge kwa ahadi ya uwaziri wa kudumu? majibu yatapatikana ktk majibu ya maswali hayo