Mahususi kwako wewe mwenye kujielewa

Mkuu nakukumbusha tuuh biblia inasema mwanaume atatafuta kwa jasho.. Over
Nimepokea andiko mkuu. Ila kuna andiko jingine linasema "Ombeni nanyi mtapewa"

Na katika andiko hilo ulilolitoa linaendelea "Na wanawake watazaa kwa uchungu''

Nb.. Kupitia uchungu huo wa hao waliotuzaa wataona hapa jinsi ya vizazi vyao vinavyoteseka.
Na huyo wa kula kwa jasho bado naendelea kuvuja jasho kwa kejeli na mapambano kama haya ninayopitia. Ili niipate ile kitu ambacho kitanifanya nikavuje jasho lisilo na masemango ila ni jasho la kazi.
 
post ndefu, afu zote pumba.
Pole kwa kukushikia bakora kusoma post hii ndefu, nisamehe sitorudia tena kukulazimisha.
Lakini hii ipo maalum kwa watu wenye kujielewa na kujitambua.

Umeshindwa hata kutambua kuwa hizi pumba zote nilizoleta hapa zinaweza kutumika kama chakula cha mifugo!!?
 
Nashukuru sana Madam kwa ushauri wako.
Ninachohitaji mimi
1. Mtaji utakaonifanya niweze kujiajiri. Kuhusiana na kazi gani ninaweza kuanza nayo tayari nina ABC za hicho kitu.

2. Pi nahitaji mke lakini kwa sasa siwezi kwa sababu naamini asilimia kubwa ya wanawake wao ndio wapewaji wa pesa na sio kutoa. Hitajio ni kubwa kuliko uwezo wa kumhudumia kimahitaji ndio maana nikasema akipatikana yule ambae hatokuwa na usumbufu wa kimahitaji huyo atakuwa bora kwangu.

Katika familia naweza kusema kuwa miongoni mwa watu wanaoangaliwa kwa macho matatu mimi ni mmoja wao. Yaani sina na sijaona wa kumuazima, au hata kushirikiana nae katika kazi. Wengi wao walikuwa na matarajio kuwa kusoma kwangu Kutakuwa mkombozi wangu. Walionitangulia nao ni watu wale wa kazi za kijungu jiko tu.

Mkuu unaamini Saccoss katika kutoa mikopo kwa mtu km mimi?
Unayajua masharti yao?
Unaweza kunisaidia Saccoss yoyote ile hata kwa jina tu halafu nami niseme kitu juu ya hiyo?

Kwa nini mkuu unanishauri nisitegemee kufanya kazi au kushirikiana na mwanamke, au kumtegemea mwanamke?
Kwani mkuu we unaamini wanawake wote ni sawa?
Unaamini nitakosa msaada kutoka kwa mwanamke?
Umewahi kunifikiria kwa nini nimejitokeza na kuleta maombi yangu kwa wanawake?

Nisikuchoshe mkuu. Binafsi naamini kila mwanadamu ana nafasi yake kwa mwanadamu mwenzake. Hata wewe ni mwanamke lakini mawazo na ushauri ulionipa ni ushauri madhubuti sana unaopatikana kwa jinsia zote mbili za wenye kujielewa.

Kwenye Wanaume wapo wema na wabaya na kwa wanawake kadhaalika.
Mwanamke mwenye huruma, mapenzi ya dhati na moyo thabiti wenye msimamo ni bora kuliko mateja 20 wa kiume.
Sijafungamana na upande wowote Madam. Ninaombi binafsi kwako.
Unaweza kunisaidia kuniunganisha na Mr (huyo mumeo) ili niweze ku share nae idea zangu ukiwa na uhakika kama nikimtemea madini yangu anaweza kunipa support?

Sisi binadamu ni viumbe complex sana hakuna ambae hatoona mabaya/udhaifu wa mwenzake lakini pia hata uwe na udhaifu kiasi gani hautokosa kupata watu wa kuwa pamoja nawe wa kukusupport.

Nisamehe kwa andiko refu.
 
umri kati 26-30.

26+30=56

56÷2=28

nimemrahisishia mke wako kupata umri wako kamili maana wanawake hawapendi hesabu/mathematics.
FB_IMG_1568310051544.jpeg
 
Daaah ! Kweli vyuma vimekaza. Hii post yako hata angeandika mwanamke ni very weird.
Cha msingi pambana tu, hakuna mteremko.
 
Sijakuelewa mkuu unahitaji nn hasa,

1) Unatafuta mpz baadae muwe mke na mume

2) unatafuta partner wa kike wa kufanya biashara.

3) unatafuta MTU akusaidie mtaji/ akukipeshe ufanye biashara

Ushauri wangu kwako ndugu,

Tafuta mtu au ndugu yko mwenye nafuu ya maisha akusaidie mtaji wa biashara, ukikosa kabisa nenda kakope hata kwenye visaccos ukipata mtaji hata wa laki3 tafuta site nzuri anza kuchakalika, fungua hata banda LA chips ndani ya miez6 utafika mbali trust me.

Sikushauri uingie kwenye biashara na mwanamke au msichana utafeli kijana, pambana mwenyewe utafanikiwa. Kila LA kheri

Nashukuru sana Madam kwa ushauri wako.
Ninachohitaji mimi
1. Mtaji utakaonifanya niweze kujiajiri. Kuhusiana na kazi gani ninaweza kuanza nayo tayari nina ABC za hicho kitu.

2. Pi nahitaji mke lakini kwa sasa siwezi kwa sababu naamini asilimia kubwa ya wanawake wao ndio wapewaji wa pesa na sio kutoa. Hitajio ni kubwa kuliko uwezo wa kumhudumia kimahitaji ndio maana nikasema akipatikana yule ambae hatokuwa na usumbufu wa kimahitaji huyo atakuwa bora kwangu.

Katika familia naweza kusema kuwa miongoni mwa watu wanaoangaliwa kwa macho matatu mimi ni mmoja wao. Yaani sina na sijaona wa kumuazima, au hata kushirikiana nae katika kazi. Wengi wao walikuwa na matarajio kuwa kusoma kwangu Kutakuwa mkombozi wangu. Walionitangulia nao ni watu wale wa kazi za kijungu jiko tu.

Mkuu unaamini Saccoss katika kutoa mikopo kwa mtu km mimi?
Unayajua masharti yao?
Unaweza kunisaidia Saccoss yoyote ile hata kwa jina tu halafu nami niseme kitu juu ya hiyo?

Kwa nini mkuu unanishauri nisitegemee kufanya kazi au kushirikiana na mwanamke, au kumtegemea mwanamke?
Kwani mkuu we unaamini wanawake wote ni sawa?
Unaamini nitakosa msaada kutoka kwa mwanamke?
Umewahi kunifikiria kwa nini nimejitokeza na kuleta maombi yangu kwa wanawake?

Nisikuchoshe mkuu. Binafsi naamini kila mwanadamu ana nafasi yake kwa mwanadamu mwenzake. Hata wewe ni mwanamke lakini mawazo na ushauri ulionipa ni ushauri madhubuti sana unaopatikana kwa jinsia zote mbili za wenye kujielewa.

Kwenye Wanaume wapo wema na wabaya na kwa wanawake kadhaalika.
Mwanamke mwenye huruma, mapenzi ya dhati na moyo thabiti wenye msimamo ni bora kuliko mateja 20 wa kiume.
Sijafungamana na upande wowote Madam. Ninaombi binafsi kwako.
Unaweza kunisaidia kuniunganisha na Mr (huyo mumeo) ili niweze ku share nae idea zangu ukiwa na uhakika kama nikimtemea madini yangu anaweza kunipa support?

Sisi binadamu ni viumbe complex sana hakuna ambae hatoona mabaya/udhaifu wa mwenzake lakini pia hata uwe na udhaifu kiasi gani hautokosa kupata watu wa kuwa pamoja nawe wa kukusupport.

Nisamehe kwa andiko refu.
 
Shida ipo katika fikra zako, yaani unaona ni haki yako ule jasho la mkeo?

Adam alikula tunda alilopewa na Eva unaona shida waliyoipatia dunia na wewe bado unatembea mule mule,,,,,, uwezeshwe na mwanamke seriously we ni mwanaume!!!!, nahisi kizunguzungu
 
Tatizo hilo mkuu. Unaamini mwanaume kula cha mwanamke ni haramu?

Sihitaji kula jasho la mwanamke, nahitaji support ya kutoka kwa mtu yeyote yule. Lakini kwa hapa nimemlenga zaidi mwanamke.

Aliyetoa tunda kule peponi si mwanamke ila kupitia ushawishi wa mwanamke ndio likaliwa lile tunda.

Naamini kwenye ushawishi wa mwanamke. Hata mimi kwake nitakuwa mlaini tu. Hakuna mkate mgumu mbele ya chai. Na yale ya kule mbinguni ni taratibu tayari zilishawekwa ndio maana ikatoka amri waje kuijaza dunia. Hata hili kama lipo basi lipo tu.
Kingine dunia imebadilika sana hivyo si dhambi wala dharau mwanamke kumtongoza mwanaume. Na hapa mimi sitongozwi na mwanamke ila naeleza nini napenda iwe.

Vipi dada umeolewa! Unahitaji faraja ya moyo kupitia hubbah! Au bado ni miongoni mwa magolikipa? Nisamehe kwa haya?
Mnadai ni wakati wa 50 kwa 50 vipi hili likutishe na kukupa kizunguzungu?

Hivi ikitokea order humu ndani, mtoto wa bakhresa au mjane Jackline Mengi anahitaji mwanaume yeyote atakayempenda amuoe. Wanaume wahitaji wa hilo wafike taifa. Unadhani uwanja utatosha?

Mimi ni mwanaume, tena mwanaume halisi na rijali haswa. Na wala usikumbwe na kizunguzungu tu ukajikuta umeangukia kifuani kwangu.
 
Daaah ! Kweli vyuma vimekaza. Hii post yako hata angeandika mwanamke ni very weird.
Cha msingi pambana tu, hakuna mteremko.
Ndio napambana hivyo mkuu, hesabu ni moja ila ina njia tofauti za kupata majibu. Na usilazimishe njia yako wewe basi kila mmoja apitie hiyo. Kubwa kila mmoja apite njia aijuayo mwisho wa siku tukutane kivulini.
Kuhusiana na kukaza kwa vyuma hilo binafsi silijui. Wapo watu kipindi hiki wanafuraha sana na maisha kuliko vipindi vyote. Ila pia wapo wenye huzuni kama wewe hapo.
 
Tatizo hilo mkuu. Unaamini mwanaume kula cha mwanamke ni haramu?

Sihitaji kula jasho la mwanamke, nahitaji support ya kutoka kwa mtu yeyote yule. Lakini kwa hapa nimemlenga zaidi mwanamke.

Aliyetoa tunda kule peponi si mwanamke ila kupitia ushawishi wa mwanamke ndio likaliwa lile tunda.

Naamini kwenye ushawishi wa mwanamke. Hata mimi kwake nitakuwa mlaini tu. Hakuna mkate mgumu mbele ya chai. Na yale ya kule mbinguni ni taratibu tayari zilishawekwa ndio maana ikatoka amri waje kuijaza dunia. Hata hili kama lipo basi lipo tu.
Kingine dunia imebadilika sana hivyo si dhambi wala dharau mwanamke kumtongoza mwanaume. Na hapa mimi sitongozwi na mwanamke ila naeleza nini napenda iwe.

Vipi dada umeolewa! Unahitaji faraja ya moyo kupitia hubbah! Au bado ni miongoni mwa magolikipa? Nisamehe kwa haya?
Mnadai ni wakati wa 50 kwa 50 vipi hili likutishe na kukupa kizunguzungu?

Hivi ikitokea order humu ndani, mtoto wa bakhresa au mjane Jackline Mengi anahitaji mwanaume yeyote atakayempenda amuoe. Wanaume wahitaji wa hilo wafike taifa. Unadhani uwanja utatosha?

Mimi ni mwanaume, tena mwanaume halisi na rijali haswa. Na wala usikumbwe na kizunguzungu tu ukajikuta umeangukia kifuani kwangu.
We kaolewe tu wala sikuzuii na neno langu sio sheria
 
Usipanic!
Ndoa ni makubaliano halali baina ya pande mbili jinsia ke na jinsia me.

Kwani nikiolewa na mwanamke kama wewe nini unaathirika.

Hakuna jinsia iliyoandikiwa kuisaidia nyingine pekee bali ni kusaidiana.

Hayo mengine ni roho mbaya, majungu, husda na mfumo mbovu wa fikra.

Hivi wewe una moyo wa kuthubutu kumtolea mahari mwanaume wewe?
Sasa wenzako hufanya hayo. We baki tu hivyo hivyo.
Kipendacho roho.....
 
Dah! kila la kheri mkuu, sasa hizo akili unazo sema unazo nyingi zitumie kupata pesa maana bila kukusaidia kupata pesa basi hazina manufaa kwako.
 
Usipanic!
Ndoa ni makubaliano halali baina ya pande mbili jinsia ke na jinsia me.

Kwani nikiolewa na mwanamke kama wewe nini unaathirika.

Hakuna jinsia iliyoandikiwa kuisaidia nyingine pekee bali ni kusaidiana.

Hayo mengine ni roho mbaya, majungu, husda na mfumo mbovu wa fikra.

Hivi wewe una moyo wa kuthubutu kumtolea mahari mwanaume wewe?
Hapo mwishoni hapo achilia mbali kumtolea mahari, hela yangu hata buku 5 tu simpi mwanaume anaenilala ni nature tu niite majina yote ya uchoyo, roho mbaya nk

Ila kwa vile wewe unataka kuibadilisha asili hiyo basi komaa utampata tu
 
Dah! kila la kheri mkuu, sasa hizo akili unazo sema unazo nyingi zitumie kupata pesa maana bila kukusaidia kupata pesa basi hazina manufaa kwako.
Mtaji na maarifa huambatana mkuu. Nimekuelewa nachukua ushauri wako
 
Hapo mwishoni hapo achilia mbali kumtolea mahari, hela yangu hata buku 5 tu simpi mwanaume anaenilala ni nature tu niite majina yote ya uchoyo, roho mbaya nk

Ila kwa vile wewe unataka kuibadilisha asili hiyo basi komaa utampata tu
Chako chako chake chako. Umempata wa size yako hongera. Lakini Usitumie mwili wako kama biashara isiyo na hasara.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom