Hawafanikiwi, kwa sababu wadada wengi wa jf wakiwa nyuma ya keyboard wanaongea utadhani wazuri kweli, sasa subiri ukutane nao, sura kaa ya mbuzi, miguu spoko za baiskeli, huku nyuma ni flat screen,,,utaoa kweli hapo?!!!! Mdada anakunywa pombe utadhani yupo kwenye mashindano....