Dr Justice
JF-Expert Member
- Feb 2, 2011
- 797
- 856
HOW TO POST COMMENT:
Naombeni mnisaidie jinsi ya share mawazo yangu kwenye jF,na namna ya kupost thread
Ok,ndiyo maana nikasema kwa yeyote ambaye anajali katika ombi langu ani-PM.
Ni-PM ili nikujuze zaidi.
unapenda mambo ya Pm. Huku mambo hazarani. Sa zingine pm kuna giza.
Hilo la kuhusu sifa zangu nitazitoa kwa yeyote mwenye kukubaliana na mwongozo wangu.Kwasababu,ni hatua binafsi hiyo.Siyo kila mtu anayehitaji kujua kuhusu mimi.Naomba unielewe katika hilo.Asante Husninyo
anijuze hapa kwanza nikikubaliana nae ndio namPM
sifa zako hadharani mkuu
Siyo kweli;ni kwa baadhi ya mambo tu.Mambo mengine ni binafsi hayahitaji kuwekwa hadharani kama unavyofikiria.Sidhani kama kila mtu akileta ombi lake hapa ndani ni lazima aweke wasifu wake.Hayo ni mahusiano ya watu wawili na si vinginevyo,hiyo hadharani haina nafasi tena.unapenda mambo ya Pm. Huku mambo hazarani. Sa zingine pm kuna giza.
Bado natafuta kwa yeyote ambaye yuko tayari basi tuwasiliane.
Bado natafuta kwa yeyote ambaye yuko tayari basi tuwasiliane.
Siku hizi wadada mmekuwa ghali kama petrolihee! Hujapata 2?
Siku hizi wadada mmekuwa ghali kama petroli