Mahusiano yananipa changamoto

Pole sana kwa mikasa usiharakishe kwa kuwa mda wako wa kutaka kuoa umefika jipe mda... Pia weka vigezo unavyovihitaji kwa mke unayemtaka mshirikishe Mungu pia ktk hili maana sk KE kwa maigizo ni noma.. Fanya research ya kutosha jilizishe na uyo mtu ambaye utampata...
Je na ww uko sahihi ktk kila kitu ktk mahusiano? Isije ikawa mchwawi ni ww mwnyw... KOSEA VYOTE ILA USIKOSEE KUOA MY DEAR UTATAMANI DUNIA ITOKE KWNY MUHIMILI WAKE...
 
Back
Top Bottom