Wanaume mliowahi kuozesha mabinti zenu njoo mtujuze!

mambo_safi

Senior Member
Jul 22, 2019
147
392
Una binti yako unajua ulivyopambana /unavyopambana kumtengenezea maishabora ya baadaye!

Halafu kanajitokeza kamjamaa kanakuja kamechomekea kujitambulisha eti kanataka kumuoa binti yako. Kwa uzoefu wako wa kutaka kumfahamu zaidi unagundua hana uwezo wa kutengeneza familia bora na binti yako.

Unamkalisha chini binti kumueleza ukweli lakini binti haelewi. Sasa washua/madingi, katika mazingira haya unafanyaje? Ukizingatia hawa mabinti wanaingia kwenye mahusiano kimiemko wakidhani maisha waliolelewa ni rahisi kuyafikia kwa mwanaume katika mizania ya kutosomeka!
 
Una binti yako unajua ulivyopambana/unavyopambana kumtengenezea maishabora ya baadaye! Alafu kanajitokeza kamjamaa kanakuja kamechomekea "balls" zikininginia kwenye "pant" kujitambulisha eti kanataka kumuoa binti yako! Kwa uzoefu wako wa kutaka kumfahamu zaidi unagundua hana uwezo wa kutengeneza familia bora na binti yako. Unamkalisha chini binti kumueleza ukweli lakini binti haelewi! Sasa washua/madingi, katika mazingira haya unafanyaje? Ukizingatia hawa mabinti wanaingia kwenye mahusiano kimiemko wakidhani maisha waliolelewa ni rahisi kuyafikia kwa mwanaume katika mizania ya kutosomeka!
Andika vizuri..mwandiko hausomeki..mwaache aolewe
..usingo maza siyo dili
 
Hila changamoto hipo! Mimi nakutoa nduki! Kuna wazazi kadhaa nawafahamu katika umri wangu huu ambao waliwakatalia mabinti zao na baadaye (Mungu saidia) wakaja kuolewa na wale tarajio la wazazi wao na maisha yao (kwa nje sisi tunavyoona) yanasonga! Sometimes mpambanie binti wako kwa kadri unavyoamini! Mimi mwenyewe binti yangu kama ueleweki!! Dah! Mungu anisaidie!
 
unagundua hana uwezo wa kutengeneza familia bora na binti yako.
Kifupi unamaanisha "unagundua hana hela!"

Kwa uzoefu wangu haya mambo ya ndoa saa nyingine ni kama bahati nasibu tu hayana fomula. Leo unaweza kumuona mtu anaeleweka, ukaona huyu ndio anafaa sasa. Baada ya muda mambo yanakuja kugeuka. Au unakuta ana matabia ya hovyo inaishia kuwa kilio. Anyway, mi sijui bana..
 
Una binti yako unajua ulivyopambana/unavyopambana kumtengenezea maishabora ya baadaye! Alafu kanajitokeza kamjamaa kanakuja kamechomekea "balls" zikininginia kwenye "pant" kujitambulisha eti kanataka kumuoa binti yako! Kwa uzoefu wako wa kutaka kumfahamu zaidi unagundua hana uwezo wa kutengeneza familia bora na binti yako. Unamkalisha chini binti kumueleza ukweli lakini binti haelewi! Sasa washua/madingi, katika mazingira haya unafanyaje? Ukizingatia hawa mabinti wanaingia kwenye mahusiano kimiemko wakidhani maisha waliolelewa ni rahisi kuyafikia kwa mwanaume katika mizania ya kutosomeka!
Muoe mwanao....
 
Unamkataa tu kwa kubaki na msimamo wako

..unamgomea kushiriki ndoa yake. Kama ataamua kufanya afanye mwenyewe.

Japo siku yakimshinda unampokea kama mzazi. Mtoto akinyea mkono hauukati bali unamnawisha
 
Back
Top Bottom