kama yeye haendi kwao na haoni shida yake iweje wao ndio waje kwa shida zipi!Kipindi cha awamu ya utawala wa tatu na nne tuliona mahusiano ya Tanzania na Marekani ikiimarika sana. Marais wastaafu Clinton, Bush na Obama wote walifanya ziara hapa nchini Tanzania kwa wakati tofauti na mikataba mingi ya ushirikiano kati ya Marekani na Tanzania ilisainiwa ikiwemo na msaada wa Marekani kwa sekta ya afya. Waziri wa Mambo za Nje wa Marekani anafanya ziara barani Afrika na katika ziara yake hiyo hatazuru Tanzania tofauti na watangulizi wake wengine John Kelly, Condolazee Rice na Hillary Clinton, ambao walizuru Tanzania kwa wakati tofauti pia. Toka serikali ya awamu ya tano kuingia Marekani hakuna kiongozi wa ngazi ya juu wa Marekani aliyezuru Tanzania mbali na mpango wa Marekani kutaka kuiwekea vikwazo Tanzania. Je hii ni dalili ya Tanzania kutengwa na taifa hili kubwa duniani na nini sababu kubwa.
Press Release: President Clinton and President Benjamin Mkapa to Announce Mkapa Medical Fellows Program
Bush discusses African crises, praises Tanzania
Barack Obama arrives to warm welcome in Tanzania - and a surprise
Huyu mkoloni wa sasa bora hata mkoloni mjeruman Karl petersKuna laana inatutafuna wacha tutafunwe tuu maana hamna namna. Huwezi kujitapa unaboresha maisha ya wanyonge wakati wanyonge hao hao ndio wanalia kuliko awamu yoyote iliyowahi kutokea ktk nchi hii! Yaan kipindi hiki ni worst than colonial era.
Tunangojea kuwa koloni la China. Mark my wordsHuu ni umaskini mkubwa wa mawazo inanishangaza kuona mtanzania aliyekuwa anapinga ukoloni maomboleo anamlilia mzungu amtawale.
Hata mm nafikiri hvyo, nakaribia kuamin yale maneno yaliyosemwa "mgogo hata akiishi masaki, atatoka kuomba moto kwa jirani" ishakuwa tabia imejenga mazoeaTunangojea kuwa koloni la China. Mark my words
Huwezi kuona Waziri wa Mambo za Nje wa Tanzania kwenda Kenya kuonana na Tillerson watakuwa wame to underrateWaziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Rex Tillerson anakuja Afrika. Atatembelea Chad, Djibouti, Ethiopia, Nigeria Kenya. Labda akiwa kenya atapata fursa ya kuonana na Waziri mwenzake Dr Mahiga katika harakati za kuimarisha uhusiano.
Mda huu ulitakiwa uwe unapika chaiHuu ni umaskini mkubwa wa mawazo inanishangaza kuona mtanzania aliyekuwa anapinga ukoloni maomboleo anamlilia mzungu amtawale.
Ukitaka mahusiano mazuri na Marekani..uwe tayari kuliwa bila ganzi. Hiyo misafara yote ya nyuma haikuja bure..kuna kitu walikuwa wanafuata na kilikua kina value for money.Kipindi cha awamu ya utawala wa tatu na nne tuliona mahusiano ya Tanzania na Marekani ikiimarika sana. Marais wastaafu Clinton, Bush na Obama wote walifanya ziara hapa nchini Tanzania kwa wakati tofauti na mikataba mingi ya ushirikiano kati ya Marekani na Tanzania ilisainiwa ikiwemo na msaada wa Marekani kwa sekta ya afya. Waziri wa Mambo za Nje wa Marekani anafanya ziara barani Afrika na katika ziara yake hiyo hatazuru Tanzania tofauti na watangulizi wake wengine John Kelly, Condolazee Rice na Hillary Clinton, ambao walizuru Tanzania kwa wakati tofauti pia. Toka serikali ya awamu ya tano kuingia Marekani hakuna kiongozi wa ngazi ya juu wa Marekani aliyezuru Tanzania mbali na mpango wa Marekani kutaka kuiwekea vikwazo Tanzania. Je hii ni dalili ya Tanzania kutengwa na taifa hili kubwa duniani na nini sababu kubwa.
Press Release: President Clinton and President Benjamin Mkapa to Announce Mkapa Medical Fellows Program
Bush discusses African crises, praises Tanzania
Barack Obama arrives to warm welcome in Tanzania - and a surprise
Kwani umeambiwa kuukataa ukweli ndiyo utajiri wa fikara? Utake usitake mkoloni Mjerumani alifanya vizuri zaidi kipindi cha utawala wake kuliko miaka zaidi ya hamsini mliyo jitawala.Huu ni umaskini mkubwa wa mawazo inanishangaza kuona mtanzania aliyekuwa anapinga ukoloni maomboleo anamlilia mzungu amtawale.
Huko Ethiopia anakoenda Rex Tillerson wamefungamana na China kuliko Tanzania.Tunangojea kuwa koloni la China. Mark my words
Unaamin nn ndugu ni kwamba huna uwezo wakujitegemea na ukafanya vizur au kuna makosa yalifanyika kipind tunajitegemea?Kwani umeambiwa kuukataa ukweli ndiyo utajiri wa fikara? Utake usitake mkoloni Mjerumani alifanya vizuri zaidi kipundi cha utawala wake kuliko miaka zaidi ya hamsini mliyo jitawala.
Huko Ethiopia anakoenda Rex Tillerson wamefungamana na China kuliko Tanzania.
Kuna jambo hatulijui huku mitaani.
Lipo wazi china anakupa mkopo mkubwa ukishindwa kulipa kwa mda anachukua bandari kama alivyo chukua gasi ya mtwaraHuko Ethiopia anakoenda Rex Tillerson wamefungamana na China kuliko Tanzania.
Kuna jambo hatulijui huku mitaani.