Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,612
- 65,066
Tunaishi kwenye jamii, na tunajifunza kwa makosa ya wengineFuata mambo yako
Mwisho wa utafiti wako ndio mwanzo wa utafiti mwingineakishindwa akiweza ww inakuhusu nn lbd tuanzie hapo
bra!bra!braaaa we unahisi wao ni wendawazimuMwisho wa utafiti wako ndio mwanzo wa utafiti mwingine
Tafadhali , agiza maji na bia nitalipa, kongole ndugu , tuendelee kusaidiana kuvimaliza "viwavi jeshi" hiviFuata mambo yako
kuwa uyaonebra!bra!braaaa we unahisi wao ni wendawazimu
Tatizo wakija kupoteza makazi kwa sababu ya kitu kidogo ni fedheha kwa familiaTafadhali , agiza maji na bia nitalipa, kongole ndugu , tuendelee kusaidiana kuvimaliza "viwavi jeshi" hivi
Nakubaliana na wewe; kwa makato hayo kwa mwezi yanaumiza, na pia ni risk kuweka rehani nyumba kwa kitu kidogosuala la kuweza au kshidwa linatoka na mzunguko wao wa fedha na nini kimewafanya kuchukuwa hizo fedha kitu abacho inabaki kuwa ni siri yao
nataman kusema lkn ngoja nifunike kombe mwanaharamu apiteNakubaliana na wewe; kwa makato hayo kwa mwezi yanaumiza, na pia ni risk kuweka rehani nyumba kwa kitu kidogo
Sema usikike, hii ni sehemu ya kuelimika; kufeli/kufaulu kwako ni funzo kwa wenginenataman kusema lkn ngoja nifunike kombe mwanaharamu apite
we kwako inaweza kuwa ni kitu kidogo ila wao ndio wanajua ukubwa wa wanachotaka ufanya na matokeo yake.. kuna jamaa mmoja alishawa uza nyumba ili kununua canter ya kubeba mizigo na alikuwa na nyumba moja tu.. na leo ana nyumba tatu .. maisha ni kursk tu rafiki zaidi mkono wa Mngu uwe pamoja na wewe nje ya hapo hakuna mafanikio Nakubaliana na wewe; kwa makato hayo kwa mwezi yanaumiza, na pia ni risk kuweka rehani nyumba kwa kitu kidogo
Sio Lazima!Tunaishi kwenye jamii, na tunajifunza kwa makosa ya wengine
Mfano unataka kuogelea kwenye bwawa na mko watatu; wa kwanza kudumbukia akazama chini hakuonekana, wa pili naye akadumbukia na hakuonekana; je, wewe utaingia kwenye bwawa?Sio Lazima!
Naona unataka ashindwe kurejesha utumie advantage hiyo kula kimasiharaKuna mwanamke mmoja kakopa shilingi milioni 4 kikoba, na kuweka rehani nyumba yake ya vyumba viwili, kwa marejesho ya muda wa miezi 5.
Kabla ya kupewa fedha hizo, mkopaji aliulizwa mara tatu tatu kama yuko siriazi na anachotaka kufanya; mbaya zaidi mkopaji ni mama wa nyumbani, na mumewe ni dereva wa kampuni moja ya wahindi huko mkoani.
Alipopata fedha hizo, alimtumia zote mumewe huyo aliyeko mkoani, ili kutimiza yale waliyokubaliana.
Mjadala: Je ataweza kurejesha zaidi ya laki 8 kila mwezi ili kunusuru nyumba yake isiuzwe?
Nimejaribu tu kupiga hesabu ya marejesho, nikaona sio rafiki; wengi nyumba zao zimeuzwa kwa sababu ya mikopo, na hatimaye familia ikawa kwenye matatizo.Naona unataka ashindwe kurejesha utumie advantage hiyo kula kimasihara
Hapana mkuu, ukishindwa kurejesha utatesa watotonaona unateseka sana kuhusu mkopo wangu