mr_stev001 Senior Member Joined Feb 4, 2023 Posts 159 Reaction score 222 Mar 11, 2023 #1 Kuna ukweli kwamba kudumu na mchumba kwa muda mrefu kuna fanya mapenzi yaishe?βπΌβπΌ
Infinite_Kiumeni JF-Expert Member Joined Jan 23, 2023 Posts 382 Reaction score 693 Mar 14, 2023 #2 mr_stev001 said: Kuna ukweli kwamba kudumu na mchumba kwa muda mrefu kuna fanya mapenzi yaishe?βπΌβπΌ Click to expand... Hapana. Ni maamuzi tu.
mr_stev001 said: Kuna ukweli kwamba kudumu na mchumba kwa muda mrefu kuna fanya mapenzi yaishe?βπΌβπΌ Click to expand... Hapana. Ni maamuzi tu.
Vesuvius JF-Expert Member Joined Jun 27, 2021 Posts 3,303 Reaction score 6,509 Mar 14, 2023 #3 mr_stev001 said: Kuna ukweli kwamba kudumu na mchumba kwa muda mrefu kuna fanya mapenzi yaishe?βπΌβπΌ Click to expand... Kwa hiyo walio oana wao mapenzi ndio yameisha kabisaaa?
mr_stev001 said: Kuna ukweli kwamba kudumu na mchumba kwa muda mrefu kuna fanya mapenzi yaishe?βπΌβπΌ Click to expand... Kwa hiyo walio oana wao mapenzi ndio yameisha kabisaaa?
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 59,651 Reaction score 172,131 Mar 14, 2023 #4 Kama unaupendo kwa kwel kitakachoisha ni tamaa tu ila upendo kamwe hautaisha.
Step by step JF-Expert Member Joined Apr 28, 2014 Posts 1,189 Reaction score 1,324 Mar 14, 2023 #5 Follow this link to join my WhatsApp group: MALEZI NDOA NA MAHUSIANO Karibu tujadili mambo yote yanayohusu ndoa na malezi. Maswali yote yatajibiwa na mada zinafundishwa
Follow this link to join my WhatsApp group: MALEZI NDOA NA MAHUSIANO Karibu tujadili mambo yote yanayohusu ndoa na malezi. Maswali yote yatajibiwa na mada zinafundishwa
Leejay49 JF-Expert Member Joined Feb 10, 2023 Posts 19,722 Reaction score 62,689 Mar 14, 2023 #6 hapana mapenzi hayawezi kuisha kama una upendo wa kweli