Tatizo lako unajua kabisa huko hawezi kosa mtu na unamtaka ila ujajisahaulisha ukweli unaujua unataka tu matumaini unacheza gambling....we kwa akili zako huyo mwanaume unataka awe huko bila mtu...kama wewe huku hukazwi sawa labda ila sisi wanaume tunakaza tu pale tulipo we hata ingekuwa mi subiri nirudi bongo ila huko nliko ntawapanga tuu kama kawa ntakuwa nao na si mmoja tu.....Wanazengwe wazima humu, nina swali lina nitatiza yan nakuwa najiuliza mwenyewe na kujijibu hapohapo bila kupata jibu sahihi.
haya naombeni mawazo yenu hapa, unaweza ukawa na mahusiano na mwanaume au mwanamke anayeishi nje ya nchi na hamjawahi hata kuonana zaidi ya kupigiana video call na kuchat tu?
Ingawaje huyo mwanaume au mwanamke ni mtanzania ila anaishi nje na anafanya kazi zake nje kwa wa miaka 10 hivi; na hana mwanamke huko?
utakuwa na uhakika gani kama ni wako au lah? na hamjawah kugombana mnaelewana na kupendana kweli???
Kwani hakuwezi kuwa na mapenzi kwa watu ambao hawajawahi onana?? I mean they have been dating for the whole year or soSasa hamjawahi kuonana! Mapenzi gani hayo eti mdada!
Fanya utaratibu muonane, la sivyo amka kwenye huo usingizi!
Mapenzi ya hivyo yapo, lakini sio kumsubiria mtu mwaka huku hamjawahi kuonana!Kwani hakuwezi kuwa na mapenzi kwa watu ambao hawajawahi onana?? I mean they have been dating for the whole year or so
Huna uvumilivu SakayoMapenzi ya hivyo yapo, lakini sio kumsubiria mtu mwaka huku hamjawahi kuonana!
Kwangu mimi sitaweza!
Ukiwa na hamu ya tendo?Mie napenda mahusiano ya hivyo, uwe hukooo nami niwe hukooo. Sipendi suffocation.
Nipo pmUkiwa na hamu ya tendo?
Fimbo ya mbali haiui nyoka
Nyie ndugu kimawazo ila hamjuani tu,,,shida ni izi id fakedistant stick does not kill a snake
Tena mwambie aamke asije akakojoa kitandan bure akaharibu godoro na atupe kazi vibarua uku kutengneza godoro lingine kwa mzembe mmojaSasa hamjawahi kuonana! Mapenzi gani hayo eti mdada!
Fanya utaratibu muonane, la sivyo amka kwenye huo usingizi!
Unakuja pata fahamu unagundua ulikuwa una date robotNina uvumilivu sana Mkuu!
Tumeshapendana mwaka mzima kwa nini asifanye utaratibu wa kuonana jamani!
.Haraka sana sitisha mahusiano hayo, narudia teeeena acha haraka sana, utajutaaaaa utaliaaaaa ndugu watalia, aiseee ukipuuzia hili ninakwambia kuna siku utanikumbuka.Wanazengwe wazima humu, nina swali lina nitatiza yan nakuwa najiuliza mwenyewe na kujijibu hapohapo bila kupata jibu sahihi.
haya naombeni mawazo yenu hapa, unaweza ukawa na mahusiano na mwanaume au mwanamke anayeishi nje ya nchi na hamjawahi hata kuonana zaidi ya kupigiana video call na kuchat tu?
Ingawaje huyo mwanaume au mwanamke ni mtanzania ila anaishi nje na anafanya kazi zake nje kwa wa miaka 10 hivi; na hana mwanamke huko?
utakuwa na uhakika gani kama ni wako au lah? na hamjawah kugombana mnaelewana na kupendana kweli???
Wanazengwe wazima humu, nina swali lina nitatiza yan nakuwa najiuliza mwenyewe na kujijibu hapohapo bila kupata jibu sahihi.
haya naombeni mawazo yenu hapa, unaweza ukawa na mahusiano na mwanaume au mwanamke anayeishi nje ya nchi na hamjawahi hata kuonana zaidi ya kupigiana video call na kuchat tu?
Ingawaje huyo mwanaume au mwanamke ni mtanzania ila anaishi nje na anafanya kazi zake nje kwa wa miaka 10 hivi; na hana mwanamke huko?
utakuwa na uhakika gani kama ni wako au lah? na hamjawah kugombana mnaelewana na kupendana kweli???
Hakuna kitu kama hicho... Ten years bila kuonana haiwezekani.... Vibofu vitapasuka ....Wanazengwe wazima humu, nina swali lina nitatiza yan nakuwa najiuliza mwenyewe na kujijibu hapohapo bila kupata jibu sahihi.
haya naombeni mawazo yenu hapa, unaweza ukawa na mahusiano na mwanaume au mwanamke anayeishi nje ya nchi na hamjawahi hata kuonana zaidi ya kupigiana video call na kuchat tu?
Ingawaje huyo mwanaume au mwanamke ni mtanzania ila anaishi nje na anafanya kazi zake nje kwa wa miaka 10 hivi; na hana mwanamke huko?
utakuwa na uhakika gani kama ni wako au lah? na hamjawah kugombana mnaelewana na kupendana kweli???
Akiwa na hamu aje pmNipo pm